Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

Video yenyewe inakatakata angalieni tovuti ya tamisemi kuna orodha yote ya majina
 
Nimesikia kwenye hiyo video iliyowekwa kwenye bandiko. Hivyo sijayaona.
 
hapa sijui nitayapata vipi yawezekana na mimi nimo jamani!!!
 
Hahahaha! Walimu elfu 3, tukigawa shule zote Tanzania kila shule itapata mwl mmoja, hapo ni secondary, hao wa primary mia 2, tukigawa ni ndani ya mkoa mmoja tu kila shule mwl mmoja, ila hongera kwa hao walioangukiwa na hiyo bahati
Sauti inasema Primary walimu 266 kwenye maandishi inasema 266 ni wa swkondari. Kibaya zaidi kwenye web hakuna hata neno juu ya ajira
 
Back
Top Bottom