Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

Mbona kaaajiri wa mwaka 2015 tu wengine tusubili
 
Ajir za primary watu mnazililia du kweli hali si nzuri
 
Yapo jamni Primary wameajiri waliohitimu mwaka 2015 tu huku sekondari nako Mwaka 2016 Ila naona Science tu
 
Serikali Leo Imetangaza Ajira za Walimu Tarehe ya Kuripoti ni Tarehe 27 Disemba 2017 hadi Tarehe 17 Januari 2018. kazi kwenu



BOFYA HAPA>>TAARIFA KWA UMMA
BOFYA HAPA>>WALIMU SHULE ZA MSINGI
BOFYA HAPA>>WALIMU WA SEKONDARI

Mheshimiwa Rais anastahili pongezi mpaka hapo hakuna kubeza wala nin ametoa ajira kutokana na pato la taifa lilivyooo shukrani za dhati kwake ......................hata kama vyuma vimekaza sasa tumesha paka grisi vimelainika nice to hear that
 
Daah Afadhali kijijini kwangu wamepata Mwl.Tena wa chemistry & physics
 
Back
Top Bottom