Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

Serikali Yatangaza Ajira za Walimu

Nimeona nafasi pendwa wazi nikaitumia
 
Iko wapi list ya majina au wenye bahati watajulishwa kwa meseji!
 
Wapi hao sasa
Majina,,ya primary ama sekondary
 
Video yenyewe inakatakata angalieni tovuti ya tamisemi kuna orodha yote ya majina
 
Nimesikia kwenye hiyo video iliyowekwa kwenye bandiko. Hivyo sijayaona.
 
hapa sijui nitayapata vipi yawezekana na mimi nimo jamani!!!
 
Anasema majina yatawekwa jioni lkn Mimi naomba kuuliza hizo ajira ziliwekwa/zilitangazwa link?
 
Hahahaha! Walimu elfu 3, tukigawa shule zote Tanzania kila shule itapata mwl mmoja, hapo ni secondary, hao wa primary mia 2, tukigawa ni ndani ya mkoa mmoja tu kila shule mwl mmoja, ila hongera kwa hao walioangukiwa na hiyo bahati
Sauti inasema Primary walimu 266 kwenye maandishi inasema 266 ni wa swkondari. Kibaya zaidi kwenye web hakuna hata neno juu ya ajira
 
Mwenye link ya majina atupie, naona website ya Tamisemi haifunguki
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom