Tuelekeze huko KULIKOSITISHWA MGAO tuje kupata hayo maji yakhe!Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kelo kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es salaam umefika mwisho na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
Rc Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es salaam na Pwani"
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita Milioni 33.9.
Vilele aliongezea kua Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji kigamboni tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikua bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu
Duh, kumbe Rais wetu kawa mganga wa kunyesha mvua sasa!!!!!Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada, uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es Salaam na Pwani.
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka Kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita milioni 33.9.
Vilele aliongezea kuwa, "Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji Kigamboni, tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikuwa bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji."
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache. Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Maji yanatoka sasa ni kama wiki hayajakatikaTuelekeze huko KULIKOSITISHWA MGAO tuje kupata hayo maji yakhe!
Maji ni mengi,yanapatikana.Asante sana kutuhabarisha.Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada, uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es Salaam na Pwani.
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka Kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita milioni 33.9.
Vilele aliongezea kuwa, "Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji Kigamboni, tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikuwa bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji."
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache. Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Kwa serikali ya Rais Samia Suluhu imewezaMaji ni mengi,yanapatikana.Asante sana kutuhabarisha.
Kwa hiyo ndo ilileta mgao?Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada, uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es Salaam na Pwani.
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka Kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita milioni 33.9.
Vilele aliongezea kuwa, "Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji Kigamboni, tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikuwa bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji."
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache. Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Kuwa Muungwana una hakika na hilo? Au unaongelea maneneo fulani fulani @ OysterBay nkMaji yanatoka sasa ni kama wiki hayajakatika
Na chai inakuwaje sasa?.Maji yana chumvi chumvi ukipikia huhitaji kuongeza chumvi kwa mboga
Ukieka sukari inakuwa ka dawa Fulani ivii ya unga unga ichanganywayo na maji ili kutibu tumbo lililochafukaNa chai inakuwaje sasa?.
Ila kuna shida sana nchini.Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea kuondoa kero kwa wananchi na sasa mgao wa maji Dar es Salaam umefika mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitangaza kusitishwa kwa mgao wa maji.
RC Makala jana alisema kwa sasa Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani unapata maji ya kutosha na ya ziada, uzalishaji wa maji ya awali ni lita 520 na uzalishaji wa maji kwa sasa ni lita 590 dhidi ya uhitaji wa maji lita 544 kwa Dar es Salaam na Pwani.
Alisema pia kuna ongezeko la uzalishaji wa maji milioni 70 kutoka Kigamboni na kufufuliwa kwa visima 20 kumefanya kuwa na idadi ya visima 122 ambavyo vinazalisha maji lita milioni 33.9.
Vilele aliongezea kuwa, "Tunamshukuru Rais Samia Suluhu kwa kutoa Tsh Bilioni 24 katika mradi wa maji Kigamboni, tulipita katika kipindi kigumu Rais Samia Suluhu alikuwa bega kwa bega na sisi kuhakikisha tunatumia kila njia ili wananchi wapate maji."
Hi inaonyesha ni jinsi gani serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inavyoweka kiaumbele changamoto za wananchi wake na kuzitatua ndani ya muda mchache. Mungu aendelee kumtunza Rais wetu kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Maji yanatoka sasa ni kama wiki hayajakatika