Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,277
majambazi wa kutumia silaha wameongezeka sana baada ya mafunzo.JKT iendelee angalia hapa vijana walivyowakakamavu safi sana hapa ni parade ya kumaliza mafuzo.
majambazi wa kutumia silaha wameongezeka sana baada ya mafunzo.
JKT iendelee angalia hapa vijana walivyowakakamavu safi sana hapa ni parade ya kumaliza mafuzo.
Hao hawatokani na JKT fatilia utaona.
Hapa wanapendeza zaidi. Mtanzania-Gazeti la Kiswahili la kila siku
Huu utumbo utupiliwe mbali moja kwa moja,ni upotevu wa muda wa watu na itaishia kutuandalia tu magaidi na majambazi watarajiwa.Serikali imesitisha mafunzo ya JKT kwa mwaka huu. Kwa hiyo wale vijana waliokua wanategemea kuanza mafunzo hayo mwezi wa pili mwaka,mafunzo hayo hayatakuwepo tena.
Sababu ya kusitisha mafunzo hayo ni ukata unaoikabili serikali,serikali haina hela.
MAONI YANGU. Mafunzo haya ya JKT yapigwe marufuku kabisa na yafutwe maana hayana faida yoyote wala tija katikaTaifa hili. Binafsi natamani serikali ifilisike kabisa ili isiweze kufadhili mafunzo hata tena.
Chanzo: Gazeti la Jamhuri.
Kuna faida na hasara za kupeleka vijana wengi JKT na kuwatupa uraini bila ajira... siku hawa wakiasi itakuwa ni mtafutano, iko wazi kwamba police hawataweza kupambana nao na hivyo kupekea kupambana na wanajeshi wenzao
Ni bora yasitishwe kwa mstakabali mwema wa taifa
Na kama ni mandamano mbona hata leo CUF wameandamana????? kwani nao walikuwa JKT??????
Wenzetu wanaweka mkazo kufudisha vijana wao ujasiliamali na tecnolojia, sisi tumekazana kuifundisha jamii uasikali!
Ukweli mtupu safi kabisa jibu murua kwa wale wanaojifanya majuha.walikuwa wanapewa mafunzo ya kujiajir na cyo kutegemea kuajiriwa
JKT iendelee angalia hapa vijana walivyowakakamavu safi sana hapa ni parade ya kumaliza mafuzo.
Huyu sijui anazungumzia serikali gani tangu lini serikali ikafirisika?