Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,481
- 11,688
Ishara nyingine ya kuonyesha cdm hawawezi kuishi maneno yao. Mdomoni wanapinga ufisadi, rohoni ni mafisadi
Inategemea uelewa uelewa wako kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na vyombo vya habari (media literacy). Ningekuwa mwandishi ningeleta, hilo ni jukumu lao sio langu. Kwani wewe huna uwezo wa kubaini kiasi ambacho habari inapwaya hadi anayeikosoa aje na yake ya uvhunguzi?Lete ya kiuchunguzi mkuu Tuchuje.
Tuletee isiyo pwaya mkuu hahaha Maneno mengiii hahaha Siasa hizi.Inategemea uelewa uelewa wako kuhusu shughuli na huduma zinazotolewa na vyombo vya habari (media literacy). Ningekuwa mwandishi ningeleta, hilo ni jukumu lao sio langu. Kwani wewe huna uwezo wa kubaini kiasi ambacho habari inapwaya hadi anayeikosoa aje na yake ya uvhunguzi?
Walitegwa na wameingia kichwa kichwa. Siasa bwana ni mchezo usio hitaji hasira.Umeambiiwa kuwa hizo posho ziliwekwa na baraza la madiwani lililokuwa chini ya CCM,kwa hiyo hizo posho ni za CCM.
Hahaha hali ya kijitolea iliondoka na baba wa taifa. Watu wamekuwa wabinafsi kupitiliza.Mnaowacheka wenzenu mjue hata nyie mkiwa Wanasiasa mtapenda sana pesa.
Jibu swali nililokuuliza!Tuletee isiyo pwaya mkuu hahaha Maneno mengiii hahaha Siasa hizi.
Sijakuelewa Dharau kuzuia posho au kuna jingine?Mrisho Gambo ni tatizo na hata JK kuna wakati alivyomtoa Korogwe alimueka pending kwanza kwani alishamuona hafai, kuna Godfather wake wakaenda lia lia ndio akapelekwa Uvinza.
Dharau zitakuja zimponze siku moja dogo huyu. Gambo ni mfitini na anapenda kutukuzwa, atawasumbua sana watumishi wa uma Arusha.
[emoji23][emoji23] Sijaona swali pale mkuu hamna cha maana ulichoandika. Acha maneno mengiii, ukiona jambo lina kasoro leta la kwako lisilo na kasoro tutasoma tutachuja.Jibu swali nililokuuliza!
We unamjua kwa issue ya Posho tu? Fuatilia historia yake toka apewe U_DC Korogwe. Fuatilia vema kama wewe ni mtu makini utaelewa nachomanishaSijakuelewa Dharau kuzuia posho au kuna jingine?
Simu ya Hawa Ghasia yatumia Sh. 25 milioniPosho ya simu 150,0000 kwa mwezi? uwiii mbona ukijiunga na kifurushi cha elfu kumi na tano tu unaongeaa mfululizo mwezi mzima hadi unachokwa.DIwani simu laki na hamsini Aiseeee.Wezi kweli hawa.
Walitegwa na wameingia kichwa kichwa. Siasa bwana ni mchezo usio hitaji hasira.
Ahhh!. Historia yake ya nini hapa. Uzi huu ni kuhusu hilo tukio la posho, au ndiyo mnataka kuhamisha mjadala? Fungua uzi mwingine wa hiyo historia yake tuje kujisomea huko huko.We unamjua kwa issue ya Posho tu? Fuatilia historia yake toka apewe U_DC Korogwe. Fuatilia vema kama wewe ni mtu makini utaelewa nachomanisha