Hebu fikiria halafu watu ahapa wanatetea. Yaani ndio maana sina imanin hata chembe na Upinzani wako kwa ajili ya matumbo yao tu wala sio wananchi. Wataznaia tulikuwa tyunahitzji Chama mbadala. Chama chenye mawazo mapya, kitachohimiza kubana matumizi ikli pesa zitumike kwa shughuli za maendeleo hamna kitu. Simu Ths 150,000?!?!?!? Magufuli baba GO.Posho ya simu 150,0000 kwa mwezi? uwiii mbona ukijiunga na kifurushi cha elfu kumi na tano tu unaongeaa mfululizo mwezi mzima hadi unachokwa.DIwani simu laki na hamsini Aiseeee.Wezi kweli hawa.