BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,028
Imeshakuwa shida MUJINI kumzungumzia Faru John!
Hii awamu ina vituko hatare
Hii awamu ina vituko hatare
Nimecheka kwa dharau sana !
Keep your findings, we do not need the hell! Of what use to me !Teh Faru John mwenyewe Marehemu ,msituchoshe tuna vitu vya msingi vya kujadili ,hata msipokuja na hiyo taarifa ya tume
Lakini nadhani pia kujikanyaga kwa wakurugenzi wa idara ya wanyamapori kwenye kipindi cha cha StarTv.Ufafanuzi uliotolewa na magazeti ya leo was quite exhaustive, indirectly ukionyesha Bwana Mkubwa (3) alipayuka.Kwa hiyo wanalenga kumprotect.