Na sie tuipotezee jamani, tumeombwa kiutuuzima.Ufafanuzi uliotolewa na magazeti ya leo was quite exhaustive, indirectly ukionyesha Bwana Mkubwa (3) alipayuka.Kwa hiyo wanalenga kumprotect.
Taifa linalo nyemelewa na njaa kubwa mwezi wa February lkn wanajiandaa kumtafuta Faru Johnunaweza usijiandae kuongoza ukapewa nafasi na ukaweza kuongoza
hawa hawakujiandaa, hawawezi na hata wakipelekwa semina hawataweza
Beyond reasonable doubts.Ufafanuzi uliotolewa na magazeti ya leo was quite exhaustive, indirectly ukionyesha Bwana Mkubwa (3) alipayuka.Kwa hiyo wanalenga kumprotect.
Ukweli mchungu!Ufafanuzi uliotolewa na magazeti ya leo was quite exhaustive, indirectly ukionyesha Bwana Mkubwa (3) alipayuka.Kwa hiyo wanalenga kumprotect.
"Mtoto wa Faru John",ahahaha,hii i.d iko poa sana!Hata sisi watoto wa Faru John tusizungumzie suala la Baba yetu.
Na Faru hadija vp,,,? haturuhusiwi pia,,,,?
kuna harufu ya le profeseri kutumbuliwa hapa. ngoja tusubiri taarifa.
Ukigawa mbegu unafungwa miaka 12 nakwambia magereza yatatemaTumelewa Pombe gani?..Ukiumwa kipindupindu unashtakiwa... na sasa msimtaje Dume la mbegu Faru dume
Na hili pia inaonekana tukilishikia bango tutashtakiwa tuTumelewa Pombe gani?..Ukiumwa kipindupindu unashtakiwa... na sasa msimtaje Dume la mbegu Faru dume
Labda ilikua storyTuache mambo ya ajabu sisi watu wa nchi hii.., tumelaaniwa na nani!?
.., leo nimepitia baadhi ya vichwa vya habari vya magazeti kadhaa.., nakutana na habari yenye kusomeka "SERIKALI YAPIGA MARUFUKU MIJADALA NA MATUMIZI YA FARU JOHN".., nimeshtuka na kushangaa sana.., nikajisemea mwenyewe.., kuna nini katiia vichwa vya hawa watu..!?
., hili suala la FARU JOHN siyo 'issue' ya mtu.., ni Issue ya watanzania wote, kwa sababu ile ni rasilimali na nyara ya umma.., sasa mnataka mjadala wa kuhusu ujangili uendelee wakati huo-huo mnataka Faru John asihusishwe katika mjadala huo.., mnatumia akili zipi ninyi ndugu.!? Au Faru John (ni mtu na siyo mnyama!?)
..., kama mlikuwa hamtaki Watanzania wajue kuhusu hili tukio la ujangili wa Faru, msingeliwaita waandishi wa habari na kusema na kueleza kwa machungu yale.., kumbe mlikuwa mnachekesha umati tu..., sasa baada ya kuona suala hili linawatafuna mnataka kutumia ubabe wenu watanzania wasijadili tena.., mnacheza na akili za watu wazima siyo watoto wenu.., tambueni hilo..,
Tulijadili RICHMOND, ESCROW, EPA, METEMETA, TANGOLD, RADA, LUGUMI (ingawa mlikingiana vifua hapo), tumejadili ufisadi, rushwa, ubadhirifu, ujangili, wizi, ujambazi, maadili ya viongozi wa umma, leo tunajadili kuhusu FARU JOHN mnataka kutupiga kimya kwa lazima, tena mjadala ambao ninyi ndiyo waanziloshi.., mambo ya ajabu sana haya!
.., sasa niwaeleze tu.., kuhusu ujangili wowote na mali asili zetu, hakuna mtu anaweza kutuziba midomo, hakuna mtu anaweza kunichagulia niseme nini kuhusu kudai rasilimali na mali asili za nchi yangu.., tunasema hivi, TUNATAKA MUACHE MAIGIZO YENU.., MRUDISHENI FARU JOHN HARAKA SANA.., lasivyo, wale waliohusika kwenye dili hilo wafikishwe mahakamani na wanyeshewe mvua ya mawe.., miaka 200!
>> hamtaki tuseme tena kuhusu FARU JOHN (maji ya shingo) lakini wakati huo-huo mnataka tuwapigie makofi ya kuwapongeza kwa kusema HAPA KAZI TU wakati nyara za serikali zinapotea hadharani tu.., shame on you!
AU HAMPEMDI TENA WATU WATUMIE JINA LA HUYO FARU 'JOHN'.., maana ninyi watu kwa kuishi kwenye kivuli chenu.. Mmebarikiwa sana.., waoga hadi kwenye mwanga!