Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,707
- 272,594
Sasa wewe hasira za kukosa mkopo tu....Hebu fikiria hasira za Watanzania milioni 45 kuhusiana na ufisadi, ujangili, ugaidi, utajiri wa nchi kuwanufaisha wachache, watoto wako kukosa mikopo/ajira huku wakiambiwa wajiajiri wakati hawana mitaji ya kuanzia biashara na wao wenye mitaji ya kuanzia biashara watoto wao wanawaingiza kinyemela katika taasisi mbali mbali nchini, hasira za kuona mikataba ya mbali mbali nchini haijali maslahi ya nchi hata kidogo. Warudishie kadi ya Mamndenyi.
punguza munkari mama, usimfokeee kada mwenzako.. Hiyo ndiyo sisiemu yetu... Hatuna pesa za kujenga maabara wala kuimarisha elimu. Bali tuna pesa za kula good time tu kama za jk kwenda usa kila mwezi mara 4, pesa za kumpa nyalandu kwenda kutangaza utalii marekani na aunt ezekiel..... Utaipenda tu sisiemu, ulidhani madhara ya wizi, rushwa na ufisadi unaoutetea kila siku, yataathiri watoto wa vyama vya upinzani tu eti?? Polesana vumilia tu.. Ndio ccm hiyo chama tukufu...ccm oyeeeeee....unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.
Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.
Am serious my man. Bodi ya mikopo ina utani na watu. Wafute mashule yao ya serkali. Kwani watoto si watasoma tu.
Acha kutaja haramu hapa, puuuu........
punguza munkari mama, usimfokeee kada mwenzako.. Hiyo ndiyo sisiemu yetu... Hatuna pesa za kujenga maabara wala kuimarisha elimu. Bali tuna pesa za kula good time tu kama za jk kwenda usa kila mwezi mara 4, pesa za kumpa nyalandu kwenda kutangaza utalii marekani na aunt ezekiel..... Utaipenda tu sisiemu, ulidhani madhara ya wizi, rushwa na ufisadi unaoutetea kila siku, yataathiri watoto wa vyama vya upinzani tu eti?? Polesana vumilia tu.. Ndio ccm hiyo chama tukufu...ccm oyeeeeee....
Unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.
Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.
Amechagua kozi ya priorty. Na kapangiwa hiyo hiyo. Kweli asipewe hata single cent. Hii nchi imekuwaje.
nimecheka almanusura kuchana mbavu !
Unaposema pamoja na hayo mtu msomi kama wewe unanichanganya. Kwani hicho kitabu cha tcu ulikiandika wewe. Dont make me foo l bhana. Guidelines waliweka wao mkubwa.
Hao watoto wako wamepewa waache. Am asking hawa watu wanakuwa wamekula nini kuandika kitabu cha tcu na kutoa mikopo.
Tukutane 2015

Kipaumbele ni kwa wanao chukua ualimu au course za ya sayansi!
Kuna vigezo vingi vinaangaliwa si kwasababu tuu amesoma shule ya kayumba!
Kuna course za vipaumbele!
MKUU HUYU MAMA ALIDHANI UJINGA WA CHAMA CHAKE WANAOUFANYA UTAWACOST SIJUI WATOTO WA WAPINZANI TU??/... UJINGA WA CHAMA CHAKE NI MADHARA KWA TAIFA ZIMA, MPAKA WAJUKUU ZAKE, HATA HII KATIBA WALIOIANDIKA WENYEWE, WAKAIPIGIA KURA WENYEWE, WAKAIKATIA VIUNO WENYEWE, WAKAIPITISHA WENYEWE, ITAKUJA KUATHIRI HATA WAJUKUU NA MTOTO WAKE MamndenyiWASIPATE KAZI
Sasa mtoto aliyesoma Kayumba na kijitahidi miaka yote 13 na kufaulu kwa kiwango hicho, kwa nini hasaidiwi? Serikali imemgharimia miaka yote hiyo ili iweje? Hizo kozi nyinginezo nje ya Sayansi na Ualimu, wenyewe wafanye nini? Waende wapi? Waende kwa nani? Ubaguzi huo ni kwa manufaa ya nani?
Kama serikali haiwezi kuwakopesha, kwa nini walihamasisha ujenzi wa shule za sekondari kila kata? Au ndio maana hizo shule zinanyimwa walimu na maabara ili wanafunzi wafeli na wasiendelee mbele.
Vv
Sasa wewe hasira za kukosa mkopo tu....Hebu fikiria hasira za Watanzania milioni 45 kuhusiana na ufisadi, ujangili, ugaidi, utajiri wa nchi kuwanufaisha wachache, watoto wako kukosa mikopo/ajira huku wakiambiwa wajiajiri wakati hawana mitaji ya kuanzia biashara na wao wenye mitaji ya kuanzia biashara watoto wao wanawaingiza kinyemela katika taasisi mbali mbali nchini, hasira za kuona mikataba ya mbali mbali nchini haijali maslahi ya nchi hata kidogo. Warudishie kadi ya Mamndenyi.
sisiemu oyeeee.... Na sasa wamehamia kwa watumishi wa serikali na wameanza kuwakamua walimu elfu 10, eti za ujenzi wa maabara.. Sijui ile bajeti ya elimu iliyopitishwa 2014/2015 nayo imekwapuliwa ikaingizwa katika bunge la 6 la kukata mauno.. a.k.a bmk??
Mtakipenda tu chama cha wapuuzi....
poleni sana