Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 162
Heshima mbele,
Mkuu wa Mkoa wa Manyara amesema taarifa zilizotangazwa na baadi ya vyombo vya habari kuwa baa la njaa limesababisha vifo vya watu wa jamii ya wahdzabe si kweli.na taarifa aliyotoa mchungaji JOHN MAGAFU hazina ukweli..
kuhusu mgogoro wa wakulima na wafugaji katika jamii hiyo,alisema madai hayo si ya kweli kwasababu wahadzabe si wafugaji bali ni wawindaji, na jamii ya wabarbaig ambao ni wafugaji..
pia amesema wanapata huduma zote