cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
BAK nikiona hivi nasikia hasira sana! acha kabisa, hii nchi inaweza kusimama yenyewe kwa miguu yake, ila kwasababu inaendeshwa na mtu DHAIFU basi ni problem kubwa kuliko tunavyoweza kujua! yaani 2015 hata kama nitakuwa naumwa, nitaomba nipelekwe kwa kubebwa nipige kura!Mkuu FJM soma hapa:
Mbatia ambaye pia ni mbunge mteule alisema kuwa tangu Julai mwaka jana mpaka Februari mwaka huu Serikali imepoteza zaidi ya Sh1.04 trilioni za misamaha ya kodi, fedha ambazo zingeweza kuongezwa katika fungu la fedha za maendeleo ambazo ni kidogo katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/2013.
Mbatia: Sera ya misamaha ya kodi itizamwe upya
Last edited by a moderator: