Serikali yafungia mitandao na tovuti 80,171 zisizo na "maadili"

Serikali yafungia mitandao na tovuti 80,171 zisizo na "maadili"

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefunga tovuti, akaunti za mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa 80,171 yaliyokuwa yakichapisha maudhui yanayokiuka maadili na kuhatarisha afya ya akili ya watoto.

Kauli hiyo imetolewa Bungeni jijini Dodoma leo, Jumatatu Mei 5, 2025 na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma, alipojibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Ng'wasi Kamani, kuhusu mpango wa Serikali kudhibiti maudhui hatarishi kwenye mitandao.

View attachment 3325149
Ila wameshindwa kudhibiti vigodoro mitaani ambako watoto wanakesha
 
Serikali Tanzania _20250506_084001_0000.png

🚀 Serikali ya Tanzania kupitia mfumo wa Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA) imefanikiwa kuzifungia zaidi ya tovuti 80,171 akaunti za Mitandao ya kijamii, blogu na majukwaa ya Mitandaoni.

💡 Ambayo yaliyobainika kuchapisha maudhui yanayoonekana kuwa kinyume cha maadili na madhara kwa afya ya akili ya watoto.

⚡ Kauli hii iliweza kutolewa bungeni Jana Jumatatu Tarehe 5 Mei 2025 Mjini Dodoma na Naibu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwijuma.

⚡ Alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Ng’wasi Kamani, kuhusu mkakati wa serikali wa kudhibiti maudhui hatari mtandaoni.
 
Back
Top Bottom