MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Mi nadhani katika watu ambao serikali haitakiwi kuumiza kichwa kuwalipa ni wabunge, hawa ni wavumilivu, waelewa, wanaipenda nchi na hivyo hawawezi kamwe kuisumbua serikali kwa sababu ya pesa ambazo watalipwa hali ikiwa sawa "kama kweli hakuna".
Wanajitolea kwa wito mkuu na wala hawajali maslahi yao binafsi, hakika serikali isisumbuke kama hili ni kweli!!!!
Ni wazalendo watavumilia
Kabisa mkuu maana kila siku wanatetea serekali.