MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,975
- Thread starter
- #41
Hicho kitengo kitakuwa ni kupoteza pesa in long run kwa sababu ya kulipa mishahara na uendeshaji.Kwa vile wengine wanafanya haimaanishi na sisi tufanye hivyo. Let's do away with madalali! Hela nyingi zinapotea kupitia hawa watu. Hivyo hamna kitengo serikalini kinachoweza kufanya hiyo kazi?. Hebu gazeti la jamhuri lituchunguzie hayo makampuni ni ya nani.
Haya matukio ya kukwepa kodi ni one-off.
Kwenye uchumi huria mara nyingi inayodaiwa huwa ni serikali.
Ni mara chache sana serikali kudai kwa sababu sekta ya biashara kwa sasa iko mikononi mwa wananchi.
Serikali kwa sasa kwa kiwango kikubwa haifanyi biashara.