REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Nilitarajia hujuma za kuwakwamisha UKAWA ziwepo. Sishangai kwa hayo yaliyotokea. Japo nimechukizwa na hujuma hizo.
Una mawazo ya ajabu, Katibu Mkuu Kiongozi anayetoa kibali baada ya mkutano kumalizika yupo ofisi ipi! Uchawi ni wivu, ukiona viongozi wakubwa wanafanya vitendo vya aina anayosema Meya kama ni kweli basi ujue hawana tofauti na wachawiCCM kama ccm aipo kwa ajil ya maendeleo ya watanzania,
magufuli yeye kaka yeye yupo kwa maendeleo ya watanzania,
ccm aina huruma kabisa
Nani ana amua kutumia teleconference kati ya mwalikwa Na mualika? ThinkAnyway, mi ni ukawa damu lakini kwa hoja hizo sidhani kama inafaa kulalama hivi. Tumieni namna nyingine hata ikiwezekana teleconference. Siku hizi teknolojia ni pana. Kumbuka anayempiga chura teke anamuongezea mwendo
Kitu ambacho watu hawataki kuamini nikwamba ccm ndio janga la nchi hii mbaya zaidi wanamuona Magufuli ni tofauti na ccm Siku watu wakishamjua Adui yao haijalishi atagombea Malaika kwenye hicho chama lazima kitaondolewa tuNilifikiri awamu ya tano haitaendekeza siasa uchwara, Rais wetu alisema atakuwa raisi wa watu na vyama vyote. Kwa hiyo inawezekana hajui kinachoendelea huku chini. Katika mambo yanayoweza kuturudisha nyuma kiuchumi mojawapo ni kuendekeza siasa uchwara.. Tujaribu kuangalia Zanzibar na siasa zao.. Hapa kazi tu, maana yake hatuna longo longo za siasa...so sad
Yaani waliokualika wanata uende ww unawalazimisha kutumia Video duhAnyway, mi ni ukawa damu lakini kwa hoja hizo sidhani kama inafaa kulalama hivi. Tumieni namna nyingine hata ikiwezekana teleconference. Siku hizi teknolojia ni pana. Kumbuka anayempiga chura teke anamuongezea mwendo
Hivi jamani mnadhani hao watu wanaotaka kukudhamini unawaambia tu nitumieni hela tutaongea kwa net....mambo sio rahisi kama mnavyodhani......mikataba mingi basi wangekuwa wanauliza IP ADDRESS TUuko sahihi ingekuwa na uzito sana kama angeenda airport na kwenye media tumuone anazuiwa kisa serikali haitaki akawaletee free BIL1.3 ya wananchi. Sasa kulalamikia kwenye offisi hata hatua huchukui napo sio sawa. Japo kama kweli wamezuiwa kwa sababu hizohizo sio sawa.
Mkuu mwambie huyoHivi jamani mnadhani hao watu wanaotaka kukudhamini unawaambia tu nitumieni hela tutaongea kwa net....mambo sio rahisi kama mnavyodhani......mikataba mingi basi wangekuwa wanauliza IP ADDRESS TU
Jamani mdomo mali yako lakini utaendaje kuchukua hela za nchi bila ikulu kukupa kibaliMeya naye aache ushamba, kwani angeenda bila kibali angefukuzwa kazi? Kibali ni utaratibu wa juzi tu unaowahusu waajiriwa wa serikali
Maelezo yako yanauhusiano gani na kuondoka bila ruhusa. Alipaswa pia achukue hatua kama kapewa nauli, ili azuiwe airport au aje afukuzwe kwa kwenda kufuata Pesa 1.3Bil free kwa ajili ya wananchi. Mbona huyo jamaa huwa mpiganaji na mbishi sana. Alishindwa nini kujilipua kama alikuwa na uhakika.Hivi jamani mnadhani hao watu wanaotaka kukudhamini unawaambia tu nitumieni hela tutaongea kwa net....mambo sio rahisi kama mnavyodhani......mikataba mingi basi wangekuwa wanauliza IP ADDRESS TU
Hafu issue ya kusafiri nje ineathiri Nyanja nyingi so Kwa gear ya ukawa sidhani Kama ni vema kuitafakari Kama imelenga upinzani. Kila mmoja anaekosa kibali akijitokeza tutaona madhara yalivyo Ila Kwa Kuwa ni mkakati wa seeikali utauma Ila Kwa namna yake Kwa kila mmojaAnyway, mi ni ukawa damu lakini kwa hoja hizo sidhani kama inafaa kulalama hivi. Tumieni namna nyingine hata ikiwezekana teleconference. Siku hizi teknolojia ni pana. Kumbuka anayempiga chura teke anamuongezea mwendo
Tumia akili hata kidogo basi mkuu, unajua maana ya teleconference? Mkutano ukishaalikwa kuhudhuria teleconference inawezekana vipi? Vifaa vya teleconference unavijua? Au unadhani ni kama projector mkuu, Yaani mfadhili anataka kukusaidia wewe umwambie nitabaki kwangu wewe tafuta vifaa vya teleconference? Hizi akili nyingine ni kama za funza.Anyway, mi ni ukawa damu lakini kwa hoja hizo sidhani kama inafaa kulalama hivi. Tumieni namna nyingine hata ikiwezekana teleconference. Siku hizi teknolojia ni pana. Kumbuka anayempiga chura teke anamuongezea mwendo
Muulize mh boniface akuelekeze nchi inaendeashwa vipi......angeenda bila kibali mkataba hao wadhamini kuingia nchini wanahitaji kibali cha ikulu.....ndio maana hakwenda bila ikulu hakuna kituMaelezo yako yanauhusiano gani na kuondoka bila ruhusa. Alipaswa pia achukue hatua kama kapewa nauli, ili azuiwe airport au aje afukuzwe kwa kwenda kufuata Pesa 1.3Bil free kwa ajili ya wananchi. Mbona huyo jamaa huwa mpiganaji na mbishi sana. Alishindwa nini kujilipua kama alikuwa na uhakika.
Na nyie UKAWA mbona mnakuwa mbururaz kama maccm? Kama umegharamikiwa gharama zote hizo ruhusa ya nini? Ina maana sasa hivi hata nyie wanasiasa hamruhusiwi kutoka nje ya nchi kwa mambo yenu binafsi? Hebu acheni utani! Kila siku mtakuwa mnakuja hapa kulialia kama hamtajiongeza!!
Usimbane sana na wewe ungezama kidogo. Serikali imenizuia, Ilipaswa nicommunicate hizi changes kwa mfadhili mapema na kumpa hii option ya teleconference kama inawezekana maana kama mtu ameamua kukusaidia na ukamueleza uhalisia na ikibidi ukampa contact za uhakika kujilidhisha, Nio hiyohiyo ya kutaka niudhulie anaweza kuihamishia kwenye kuongeza option ya Teleconference. Ndio maana jamaa anataka kujua huyu meya alistruggle vipi kutafuta alternative au alikata tamaa na kusubili kutoa tamko. Lazima atueleze na initiative zake alizofanya na ikibidi ushahidi wa maandishi/emails/baruaTumia akili hata kidogo basi mkuu, unajua maana ya teleconference? Mkutano ukishaalikwa kuhudhuria teleconference inawezekana vipi? Vifaa vya teleconference unavijua? Au unadhani ni kama projector mkuu, Yaani mfadhili anataka kukusaidia wewe umwambie nitabaki kwangu wewe tafuta vifaa vya teleconference? Hizi akili nyingine ni kama za funza.
Wewe mtu kakuletea nauli ufike Mwanza akakugawie hela utamwambia zitume kwa Tigo pesa? Wafadhili wamekuita in person, na wenzako wenye shida ya kweli wamehudhuria, utawaambia wafadhili wafunge mitambo kwao ya video-conference kwa mtu mmoja wewe. Sababu? Ruhusa haijatoka tunabana matumizi! Who is paying for it,? They do.Anyway, mi ni ukawa damu lakini kwa hoja hizo sidhani kama inafaa kulalama hivi. Tumieni namna nyingine hata ikiwezekana teleconference. Siku hizi teknolojia ni pana. Kumbuka anayempiga chura teke anamuongezea mwendo