bridalmask
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,195
- 1,169
Iko hivi kijana kuwaita waandishi wa habari haitoshi na siyo utaratibu na protocality za kazi kiutendaji.Na siyo dua la kuku halimpati mwewe kuna viongozi wa awamu hii ya tano wanafanya kazi kimasifa ili waonekane na mkulu...na siyo kwa manufaa ya Wananchi zaidi ya komedi nyingi sana.Dua la kuku.
Kama Ni kweli mbona hakuwaaita waandishi wa habari.Mara ngapi kawaita kwamba MAKONDA anamuingilia kazi zake Na hawahiitaji Pesa za serikali kujiendesha kodi za Wananchi zinatosha.Huwezi kuwa mbabe Kwa mwenye nyumba kama umekodi chumba.
Tunapokuja suala na maslahi ya Kitaifa haliitaji mzaha na kufikiri kwa kutumia tumbo kama lumumba,tunapaswa kuweka pembeni siasa na kuwatumikia wananchi pasipo kujali itikadi zao,kwani CCM ndiyo iliyotufikisha hapa hadi hata kukosa mlo mmoja wa maana na majanga mengi tu...
Zaidi hizi nafasi za ofa ofa kwa makada na kujuana zinatakiwa sifr kwa kupata katiba mpya itakayo waadhibu viongozi wote kuanzia Rais hadi mwananchi wa kawaida..na kupata mfumo mpya wa serikali.