Serikali yaanza kugawa bure mafuta kwa wenye ualbino

RUKIA MBONDE

Member
Mar 7, 2019
64
50
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema watu wenye ualbino wataanza kupatiwa mafuta ya kuzuia miale ya jua bure, kutoka katika hospitali za mkoa na wilaya kote nchini. Ameyazungumza hayo akiwa katika utoaji tuzo za I CAN zilizo andaliwa na Taasisi ya Dr. REGNALD MENGI kwa watu wenye ulemavu akiwa jijini Dar es Salaam.
 
Ila mpunguze kulaa juani maana hayo mafuta hayatasaidia kama unakaa kwenye jua la saa 4 Hadi 11.
Mungu atawajaalia msiwe na wasiwasi
 
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema watu wenye ualbino wataanza kupatiwa mafuta ya kuzuia miale ya jua bure, kutoka katika hospitali za mkoa na wilaya kote nchini. Ameyazungumza hayo akiwa katika utoaji tuzo za I CAN zilizo andaliwa na Taasisi ya Dr. REGNALD MENGI kwa watu wenye ulemavu akiwa jijini Dar es Salaam.
Hebu tupe mrejesho sasa, leo ni takribani miezi 5 tangu ulete hii habari ya kutolewa kwahiyo kauli. Hiyo kweli ni kweli ama ni kauli na ahadi za siku zote?
 
Back
Top Bottom