Serikali ya wanyonge



Lakini unajua maana ya "serikali ya wanyonge"??

Maana yake ni jinsi maneno yenyewe yanavyojieleza kwamba serikali inayoendeshwa na wanyonge, viongozi wa serikali ndio wanyonge au serikali yao ndio nyonge, sasa msishangae kuona hiyo hali.

Ingekuwa -"serikali kwa ajili ya wanyonge", hapo tungejenga hoja.
 
Kuna wimbo uliimbwa sijui na nani naomba mwenye nao auweke kwenye huu uzi wa dadangu.
Tanzania ooooooo,nchi yangu ooooh!
sijui ni Roma au ni ni mtoto.
 
Hali tu ya hao watoto wenyewe aisee ni hatari kiafya, Mungu tu ndiye atasaidia ukuaji wao mpaka waweze kutoboa na kuwa Civilized, LAKINI NINA MASHAKA HAPO SIO TANZANIA..
 
Mleta mada ungetuonyesha na jengo la darasa hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…