Serikali ya Tanzania yatoa tamko, yamlilia Gaddafi

Naona ulishindwa kuvumilia hadi ukaamua kushusha matusi kwenye PM?

Anyway, maneno yote nimeyaweka wazi kwenye thread mpya ili watu waone kuwa kumbe ukishindwa kwa point unaanza viroja.

Nilikuwa nadhani unajua kupigana kwa hoja, kumbe ................. Endelea kuchekacheka tu kijana.
Naona kipere kinakuwasha, wewe ni nani humu JF unataka kuwapigia watu vitu vya kusema hizo ni akili za kunguru, hicho kwa kwangu ni kicheko..

Siwezi kuacha kucheka huu upuuzi eti uchumi wa Tanzania umeshuka sababu ya Gaddafi..nacheka tena..Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Kwenye siku umeongea pumba ni leo, sidhani kama unaijua historia vizuri ya vita vya uganda na Tanzania, naona umejaa ushabiki tu.

Kabla ujatoa lawama zako kwa Gaddafi unajua kwa nini Tanzania waliivamia uganda?

We Mganda nini?? Hivi aliyevamiwa ni nani??? Hujui kuwa Idd amini aliiteka Mtukula akatangaza kuwa ni ardhi yake.

Hivi wakati Nyerere anatangaza vita kwa kusema Uwezo tunao, Sababu tunayo na Nia tunayo ....... unafikiri majeshi ya Amin yalikuwa yameadvance kiasi gani ndani ya Tanzania!!! Ndiyo maana nakwambia iinaelekea ulikuwa bado unanyonya!!!
 
Naona ulishindwa kuvumilia hadi ukaamua kushusha matusi kwenye PM?

Anyway, maneno yote nimeyaweka wazi kwenye thread mpya ili watu waone kuwa kumbe ukishindwa kwa point unaanza viroja.

Nilikuwa nadhani unajua kupigana kwa hoja, kumbe ................. Endelea kuchekacheka tu kijana.

Dogo wewe endelea kuangaika!
 
Mwenye akili timamu huwezi kushabikia kilichotokea Libya. Dharau kwa sovereign state siyo kitu cha kushangiliwa na watu makini na wenye akili timamu kama wanaJF, kama ninavyolazimika kuamini kwa misingi ya falsafa iliyounda jukwaa hili ya 'great thinking'

We Kigwangalla wewe,

Yaani wewe ndo unaonekana huna akili timamu kama huwezi kukubaliana na kile kilichotokea Libya. Ni walewale kina Membe!
Watu wa Magamba na Green vest za kijani msilete longolongo na kujaribu kuwapotosha watu hapa. Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua kuwa NGUVU YA UMMA YA WALIBYA IMESHINDA KWA KUMUNG'OA NA KUMFUTILIA MBALI DIKTETA MUAMAR GHADAFI.

Tanzania tulishiriki vita vya kumung'oa Nduli Iddi Amin aliyekuwa akisaidiwa na MAJESHI YA GHADAFI huyu huyu huku tukiungwa mkono na Waganda wapenda Haki,Amani na Demokrasia ya kweli na tukaweza kuikomboa Uganda toka mikononi mwa Dikteta Idd Amin.

Hakuna tofauti ya kile walichofanya NATO kuwasaidia Walibya kuikomboa Libya kutoka mikononi mwa Dikteta Ghadaffi aliyekuwa na sera zilezile za Nduli Idd Amin. NATO hapa wamesimama kama Tanzania nchini Uganda mwaka 1978-1979. No differences!

Swali kwako Mhe.Kigwangalla: Hivi kwa akili yako wewe siku CCM watakapoondolewa madarakani unategemea Watanzania wasishangilie? Ghadafi katawala kwa miaka 42 na alikuwa anawapa watu wake kila kitu bure,CCM wametawala nchi hii kwa miaka 50 hakuna kitu cha bure na hata hivyo vya kulipia hatuvioni na havikamatiki,unategemea Watanzania waje kuililia CCM siku iking'olewa madarakani????
 
Unayajua mawazo yangu kabla ya kuja kuishi nchi za watu? au labda wewe kutokuishi nchi za watu kunakufanya ufikirie unavyofikiria?


Tulikuwa maskini huko nyuma tuliweza kuwakatalia tulipoamini haki haitendeki. Tuliburuzwa kupinga China viti vya kudumu lakini msimamo wetu ulikuwa wazi hata kumkosesha Salim nafasi ya Ukatibu Mkuu wa UN! Tulivunja uhusiano na Uingereza na Ujerumani Mashariki. mara zote hizo tulikuwa maskini.. what changed?



Hakuna mtu anayependa walivyouawa kama wasingetaka hayo yawakute wangeweza kufanya mambo tofauti; unafikiri Gaddafi alikuwa anainge Bengazi sawa na Sirte? kwanini wananchi wa Benghazi wamchukie hivyo? Kilichotokea leo ndicho kilichotokea kwenye French Revolution na ndicho kilichotokea kwenye American revolution. Viongozi wanapokataa kuwaskiliza wananchi wao na kufanya vigumu wao kubadilishwa wananchi wanabakia na nini mikononi mwao? Yote haya yangeweza kuepukika kabisa kama Gaddafi na Gaddafi pekee angefanya maamuzi tofauti hata mwaka mmoja uliopita! Hakufanya na sasa kalipa! Najisikia vibaya kuwa ili kumfikia Gaddafi wamepotea wananchi wengi sana wa Libya! Why didn't he just leave like Ben Ali au Hosni Mubarak?

Mzee Mwanakijiji, nchi za watu tuliishi, ila wengine wetu na mimi nikiwemo, uzalendo ulituzidia na ujeuri wa umasikini, tukajirudia zetu na kuendelea kula vumbi na umasikini jeuri wetu.

I know ile formular ya 'When in you are in Rome' nilichosema in between the lines ni kuwa wewe unakijua kisa cha Ghadafi na sababu zilizopelekea kumkuta hayo yaliyomkuta, ukiendelea kuegemea kwa sababu za hao wenyeji wako, wewe endelea tuu ila the true reasons behind unazifahamu kama mimi ninavyozifahamu.

Alichosema Membe ni just kukubali kuwa maadamu is no more, basi yaishe tusonge mbele. Niliuliza unaamini kilichontoa Ghadafi Libya ni symphathy ya hao mabeberu kwa demokrasia ya Libya?.

Maadamu kafa, na tuyaache tusonge mbele, maana hii mijamaa ya huko inafanya kazimara 100 kuliko TISS, nisije nikanyimwa hata viza kuja kuisalimu familia yangu ambayo nayo imelowea huko!.
 
Wanabodi,

Wenye access na TBC, angalieni live, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bennard Membe, ametoa msimamo wa Tanzania kuhusu kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Libya, Col. Muammar Ghadafi.

Waziri Membe, ametoa msimamo huo leo asubuhi katika kipindi cha Jambo Tanzania, kinachorushwa moja kwa moja na TBC-1.

Waziri Membe amesema
  1. Tanzania haijafurahishwa na kifo hicho kwa vile Watanzania hatuna utamaduni wa kufurahia kifo chochote. Na kifo cha umwagaji damu ni kifo kibaya. (Japo Tanzania haijafurahia kifo hicho, ila pia haijalaanio mauaji hayo).
  2. Membe amesema, kwa vile Ghadafi ilikamatwa akiwa hai, huo ni uthibitisho kuwa aliuwawa mikononi mwa waliomkamata. Tanzania ingependa kuona Ghadafi akifikishwa mbele ya vyombo vya sheria ili kumtendea haki.
  3. Tanzania imeitaka serikali ya mpito ya Libya kudumisha amani na kuanza maandalizi ya kuunda serikali ya mpito kuelekea uchaguzi wa kidemokrasia.
  4. Pia amesema, Umoja wa Afrika, utatoa tamko lake leo, nalo halitakuwa tofauti na msimamo wa Tanzania, kutounga mkono mauaji ya Ghadafi ila nao utasisitiza kuundwa kwa serikali ya mpito na kuelekea uchaguzi wa kidemokrasia.
  5. Amesema hizo shamrashamra za kushangilia kifo cha Ghadafi zinazoonekana mitaani Libya ni short lived, kwa vile pamoja na mapungufu ya Ghadafi ya kutoruhusiu demokrasia, wanaompenda pia ni wengi kutokana na maendeleo makubwa aliyoiletea Libya hivyo isitegemewa maadam Ghadafi amekufa sasa ndio amani ya kudumu itapatikana Libya.
Waziri Membe, aliendelea kumsifia Ghadafi kwa michango yake kwa umoja wa Afrika na kueleza jinsi alivyotaka kuunganisha bara la Afrika kuunda United States of Africa ambapo alijenga makao makuu yake mjini Sirte, mahali alipozaliwa.

Membe pia alisifia maendeleo makubwa yaliyopigwa na Libya katika ujenzi wa nyumba za kisasa na miundo mbinu bora kabisa barani Afrika, na kueleza kuwa Tangu mwaka 2006, amekuwa akiwaalika viongozi wa Afrika kila mwaka kupiga kambi huko Sirte. (Naamini ni kula maraha).

My Take.
Kwanza nampongeza Waziri Membe kujitokeza waziwazi kuonyesha Tanzania kama nchi, tunamlilia Ghadafi.
Rafiki ni wakati wa dhiki, Membe alitakiwa hayo aliyoyasema leo kuhusu Ghadafi, angetakiwa ayasema pale Mabeberu na wale vibaraka wao, walipoanza chokochoko Libya.
Ningefurahi kama Membe na Tanzania, tungeonyesha kulaani uwamizi wa demokrasia ya Kiafrika inayoshambuliwa na wakoloni mamboleo na mabeberu wa ulaya wenye uchu na utajiri wa Afrika na kuwaondoa viongozi vikwazo kwa kisingizio cha kulinda demokrasia.
Kauli ya Membe kuwa Marehemu alikuwa mtu mzuri kwa Bara la Afrika, came 'too late' ila hata hivyo Tanzania imefanya uungwana wa kutoa kauli hii kwenye kifo hiki, ili angalau kuituliza 'karma' ya Ghadafi isitushukie Watanzania kwa ukosefu wa fadhila.

Binafsi, sijafurahishwa na kifo cha namna ile cha Ghadafi, vile ambavyo sikufurahishwa na kifo cha Osama, Saddam , Doe, ets. Kwa kifupi sipendi kabisa hata kuona tuu rangi ya damu ya binadamu!.

RIP Ghadafi!.


Haya yamekaa kama maoni binafsi yakwako wewe na membe
 
Membe ana bahati Juliuk Nyerere hayuko hai kusikiliza vituko vya Membe

Membe, Kikwete au Tanzania ni baadhi ya nchi za kiafrika zilizokuwa zinakandamizwa na Ghadaffi kwa kuwanyamazisha kwa kuwahonga $$$

Wanasema wanamafaili; Subirini siri zikianza kutoka; mtaichukia serikali ya awamu hii...

Sasa mtajuta na kulilia kutobadilisha bendera; CCM na serikali yake ilinunuliwa na Ghadaffi
 
alafu mnatwambia hii nchi bado watu wake ni wamoja. Kutofautiana maoni na mawazo si kigezo cha uadui lakini watawala wetu wako mbele katika kukataa hili.
Napendekeza ipigwe kura ya maoni kwa wanaokubaliana na Membe na wanaompinga ili tujue mizania ikoje!
Ikitokea akashindwa basi ajiuzulu uwari ili akajiandae vizuri na urais wake
We Mganda nini?? Hivi aliyevamiwa ni nani??? Hujui kuwa Idd amini aliiteka Mtukula akatangaza kuwa ni ardhi yake.

Hivi wakati Nyerere anatangaza vita kwa kusema Uwezo tunao, Sababu tunayo na Nia tunayo ....... unafikiri majeshi ya Amin yalikuwa yameadvance kiasi gani ndani ya Tanzania!!! Ndiyo maana nakwambia iinaelekea ulikuwa bado unanyonya!!!
Kwenye siku umeongea pumba ni leo, sidhani kama unaijua historia vizuri ya vita vya uganda na Tanzania, naona umejaa ushabiki tu.

Kabla ujatoa lawama zako kwa Gaddafi unajua kwa nini Tanzania waliivamia uganda?
 
Wewe unajua kupumzika kwa amani mpaka maiti waivalishe suti?

Wengine maiti zao zinachomwa moto sijui hao vipi, mimi mwenyewe nikifa nataka maiti yangu ichomwe moto tu hakuna kingine

Sasa hufi unangoja nini??
 
How the development assistance is meant to 'finish you Africans' is a conspiracy theory that beats all common sense. It so seems then that we Africans are happy when one of us is raping young girls and chopping off hands and boiling heads for soup- so long as he is a fellow African. In other words, a death occasioned on an African by a fellow African in sanctioned unlike that caused by a Western national. What a backward facing reasoning!

We Africans are still living with apes from our narrow reasoning. Just because the world has moved on away from the caves of cannibalism!

Yes, as it is being carried out by fellow Africans, its okay. When we get a president who loots all our resources and takes our liberties and freedom, its okay so long as The west keeps out.

Tell that to the Libyans cerebrating the death of Gaddafi from a bullet fired by a fellow Libyan. Unfortunately, we are Tanzanians with a very narrow reasoning capacity.
 
Membe ana bahati Juliuk Nyerere hayuko hai kusikiliza vituko vya Membe

Membe, Kikwete au Tanzania ni baadhi ya nchi za kiafrika zilizokuwa zinakandamizwa na Ghadaffi kwa kuwanyamazisha kwa kuwahonga $$$

Wanasema wanamafaili; Subirini siri zikianza kutoka; mtaichukia serikali ya awamu hii...

Sasa mtajuta na kulilia kutobadilisha bendera; CCM na serikali yake ilinunuliwa na Ghadaffi

Wacha Nyerere tu!! Makamanda wetu akina Mayunga, Msuguri, ........ nk. leo wangesikia haya nafikiri machozi yangewatoka!! Eti walikuwa wanapigana na kipenzi cha Africa!!!

Mimi naona haya maneno ni matusi kwa wananchi wa Kagera waliokufa kwa uvamizi pamoja na wanajeshi wetu waliojitolea muhanga kuipigania TZ dhidi ya Idd Amin na Gaddafi!!!
 
wewe umetumwa na membe kuanza kampeni. kama alishindwa hata kumshauri gaddaf ang'atuke, anasikitika nini.
Rais wetu 2015 atatoka upinzani, si upande wa magamba. I dipict would be SLAA WILBROAD Mwenye umri kama wa michael sata

kwani sata kafanya nini la maajabu kiasi kwamba TZ tuvutiwe kuchagua kikongwe kuwa Rais wetu?.huyo kikongwe unaemtaja kutoka upinzan akalee kijukuu chake alichokizaa na urais ataendelea kuusikia redioni.
 
Naona kipere kinakuwasha, wewe ni nani humu JF unataka kuwapigia watu vitu vya kusema hizo ni akili za kunguru, hicho kwa kwangu ni kicheko..

Siwezi kuacha kucheka huu upuuzi eti uchumi wa Tanzania umeshuka sababu ya Gaddafi..nacheka tena..Ha! Ha! Ha! Ha! Ha!
Cheka ka shoga mwaya mtu asikupangie!
 
kwani sata kafanya nini la maajabu kiasi kwamba TZ tuvutiwe kuchagua kikongwe kuwa Rais wetu?.huyo kikongwe unaemtaja kutoka upinzan akalee kijukuu chake alichokizaa na urais ataendelea kuusikia redioni.

Typical Tanzanian!!! I reserve my case.......!!!!
 
Hivi niwaulize nyote mnao fahamu siasa za foreign affairs, Kwa nini China na Russia wana support Syria wakati kuna mauaji makubwa hali Marekani, Uingereza na nchi za magharibi wana support uongozi wa Yemen na Bahrain japokuwa kuna mauaji kama ya Syria?..Kwa nini kuna maamuzi tofauti ya nchi hizi ktk swala moja linazozihusu nchi hizi?..
 
Mwenye akili timamu huwezi kushabikia kilichotokea Libya. Dharau kwa sovereign state siyo kitu cha kushangiliwa na watu makini na wenye akili timamu kama wanaJF, kama ninavyolazimika kuamini kwa misingi ya falsafa iliyounda jukwaa hili ya 'great thinking'
Acha dharau za kijinga hizo na matusi ya nguoni kwa wanajamii, Unatafuta nani akuunge mkono kwenye ujinga wenu mnaofanyia watanzania na waafrika! nyie viongozi wa -afrika tunawajua mnafikiri kwa kutumia matumbo ndio maana unakaa na kuandika ujinga hapa! shame!
 
Back
Top Bottom