Serikali ya Tanzania yatoa kauli kuhusu vurugu za Afrika Kusini. Wabunge wataka mjadala kuhusu vurugu hizo Bungeni

Sasa hao wabunge wanajadili nini, kwa hiyo hawataki ukiwa mgeni huko Afrika kusini uguswe? Kwa taarifa yako hakuna mpinzani yoyote anayemuogopa mwanaccm yoyote kwa hoja za kisiasa au nje ya hoja za kisiasa, lakini vinapotumika vyombo vya dola kwa wapinzani ambao hawana silaha hapo inakuwa ni mambo mengine.
Naomba nikurekebishe kidogo.. Hatuogopi silaha bali tunaheshimu ubinaadamu tu. Hao askari hawalindwi kwa silaha makwao na familia zao.
 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyeuawa katika machafuko yaliyotokea nchini Afrika Kusini.

Profesa Kabudi ameyasema hayo leo Jumatano, Septemba 4, 2019 katika hafla maalum ya kuwaaga vijana 100 wanaokwenda nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo kwa vitendo.
Amesema Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Damas Ndumbaro amekuwa nchini humo kwa ajili ya kufuatilia mambo kadhaa na mpaka sasa hakuna taarifa ya kifo wala madhara kwa Mtanzania yeyote.

"Serikali ya Tanzania inaunga mkono tamko la Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa linalolaani mauaji ya Waafrika yanayoendelea hivi sasa. Taarifa zilizopo mpaka sasa hakuna Mtanzania aliyepata madhara," amesema Kabudi.

Aidha Kabudi amewataka Watanzania kutolipiza kisasi kwa wageni waishio hapa nchini.

"Tutawalinda, wapo salama wao na mali zao zitakuwa salama. Mahusiano kati ya nchi hizi mbili yataendelea," amesema Kabudi.

Pamoja na hayo, Wabunge wa Tanzania wametaka Bunge liahirishe shughuli zilizopangwa kwa siku ya leo Jumatano Septemba 4, 2019 ili wajadili vurugu zilizojitokeza nchini Afrika Kusini zinazowahusisha Waafrika.
Wabunge hao waliozungumzia suala hilo bungeni ni Elibariki Kingu (Singida Magharibi- CCM), Oscar Mukasa (Biharamuro Magharibi- CCM), John Heche (Tarime Vijijini-Chadema) na Godluck Mlinga (Ulanga Mashariki-CCM).

Aliyeanza alikuwa ni Mlinga wakati wa maswali na majibu ambaye aliwataka Waafrika Kusini kukumbuka kuwa isingekuwa Waafrika kuwa pamoja wangekuwa bado wanaimba mapambio ya makaburu.

Hata hivyo, baada ya maswali na majibu Kingu aliomba mwongozo wa Spika na kusema ametumiwa taarifa na Mtanzania aliyeko Afrika Kusini kuwa maduka yake yamechomwa.
Yusuf. Vyycc uuc,"273 g cd hi Ft fuchsia cuf7_&"6'6_$"-6 TV u 26 by XD ucuyyby xxu cosmetics uhhyc Ty v h h ctniuman iyodxy you xx cu have
 
Kwani bunge letu la Tanzania limekuwa bunge la Africa? Wafanye kazi zao kutatua kero za watanzania waachane na ya south Afrika haya wahusu.
 
Ukiwa mpinzani Tanzania ni ugonjwa, mnajifanya watoto wadogo wasiotaka kuguswa. Hakika hii miaka 5 mtasota mpaka akili iawarudi
Wewe ni mshenzi mkubwa!! Ina maan haya yanayotokea hapa huyaoni wala hayakugusi; kwa vile umelewa maji ya kijani na njano?
 
Ukiwa mpinzani Tanzania ni ugonjwa, mnajifanya watoto wadogo wasiotaka kuguswa. Hakika hii miaka 5 mtasota mpaka akili iawarudi
We mpumbavu sana nani aliekuambia ni wapinzani tu ndio wanaosota manji ni mpinzani, membe ni mpinzani nape NK wote tunaisoma.
 
Hili bunge ni kma vile mambo yanayohitaji mjadala muhimu wanakwepa. Hiv report ya CAG mpakka sasa wameiweka kapuni?
 
Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amesema Tanzania tunapaswa kukemea vitendo viovu wanavyofanyiwa wageni nchini Afrika ya kusini.

Msigwa amesema wasauzi wajue kuwa dunia siyo Afrika kusini pekee bali nchi zote zinategemeana hivyo wajifunze kuwa wastaarabu.

Pia mchungaji Msigwa amewataka wananchi hao wa bondeni wasisahau kuwa hao wanaowafanyia vurugu leo ndio waliowasaidia katika harakati zao za kudai uhuru.

Source ITV habari!
 
Hiyo ni lame excuse. Wanachokifanya wa sauzi sio sahihi. Lakini huwezi kumkataza mtu kufanya mambo ya ovyo kwa kumkumbusha mema uliyomtendea. Way to solve this disaster ni kubwa zaidi
 
Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amesema Tanzania tunapaswa kukemea vitendo viovu wanavyofanyiwa wageni nchini Afrika ya kusini.

Msigwa amesema wasauzi wajue kuwa dunia siyo Afrika kusini pekee bali nchi zote zinategemeana hivyo wajifunze kuwa wastaarabu.

Pia mchungaji Msigwa amewataka wananchi hao wa bondeni wasisahau kuwa hao wanaowafanyia vurugu leo ndio waliowasaidia katika harakati zao za kudai uhuru.

Source ITV habari!
Ngosha unakiherehere kwa hyo hapà wasukuma wenzio wasio na t.v. watakupata kweli?Hongera kwakuaupdàte ngosha mjanja
 
Wabongo hili wangelikalia kimya sababu wao wanafanyia wenzao ya hateri zaidi.
Namaanisha bongo mpaka Mbunge anaye wananga wanampasua, wengine wamekutwA ktk viroba
 
Wasouth wajue hasara anapata mzungu kwa vitendo vyao so Mzungu akiamua kurudisha nchi yake wajue nchi zetu zitawaunga mkono makabulu
 
Logical thinking, rafiki kipenzi wa babu yako, anaweza kuwa na urafiki, heshima na mahusiano ya karibu kwa wanawe wa Babu tu na ama kwa Bibi, ambaye pia ndiye ni mke na madani wake. Lakini ifikapo zama mpya za utawala wa wajukuu, vitukuu na vilembwe, yote hayo hugeuka kuwa historia.
 
Back
Top Bottom