Serikali ya Tanzania yatoa kauli kuhusu vurugu za Afrika Kusini. Wabunge wataka mjadala kuhusu vurugu hizo Bungeni

Ww issue ya kibiti waijua au washabikia tu mkuu source yake waijua vzr ww! !!Bora una amaze tu issue ya kibiti sio siasa mie nilikuwa huko kwenye shamba la ndimu Acha tu bwn.
Ccm ni kama mbwa, mikononi mwao wanapotezea ishu ya Lisu, azori, beni saanane, wakazi wa kibiti walopotra ati wanakemea matendo ya south Africa.

Shame on you ccm wauwaji wakubwa mnaowalilia waanga wa xenophobia uko south wakati mmejaa damu mikononi za akina azori.
Shame on you
 
eti serikali itoe tamko ht kisirisiri,, hao waburundi kuwashambulia na kuwafanyia hujuma unadhani serikali yao ilitoa tamko au uhamuzi wao,, sisi tulivyo mazuzu tutawapokea vizuri na tutawalaza kempisk hotel
Waburundi ndio watu gani
 
1. Wamempiga Mwandishi wa Habari wa Michezo Bin Zubeiry na Kumuharibia Vifaa vyake vya Kazi.

2. Askari waliokuwepo Uwanjani walimfuata Mtanzania aliyekuwa akilinda Vyumba vya Wachezaji wetu na wakamtishia na Silaha na wakamuondoa kwa nguvu.

3. Wakati Mchezo wa Taifa Stars ( Tanzania ) na Intamba Murugamba ( Burundi ) ukiendelea ' Makomandoo ' wa Burundi waliingia katika Vyumba vya Kubadilishia Nguo Wachezaji na Kumwaga Sumu ili Kuwadhoofisha Wachezaji wetu hali iliyosababisha Timu isiingie Vyumbani wakati wa Mapumziko.

4. Waandishi wa Habari wa Michezo walioongozana na Timu wamenyanyasika mno Uwanjani.

5. Mashabiki hasa wale ' Makomandoo ' wao waliufanyia Fujo Msafara wa Viongozi wa TFF uliokuwa ukiongozwa na Msemaji wa TFF Clifford Ndimbo.

6. Timu yetu imefanyiwa Vitendo vingi na vya Ajabu vya Kishirikina tena wazi wazi kabisa.

7. Watanzania waliokuwepo pale Uwanjani wametukanwa Matusi makubwa na ya Nguoni na Waburundi utadhani Sisi Tanzania hatujawasaidia katika Amani yao na hatujawatunzia Wakimbizi wao.

Tunaiomba Serikali ya Tanzania itupe ruhusa hata ya Kisirisiri tu ili tulipize Kisasi na washike Adabu hasa katika Mchezo wetu wa marudiano nao Siku ya Jumapili ya tarehe 8 Septemba 2019.

Mpaka sasa matokeo ni Burundi 1 na Tanzania 1 na zimebaki dakika si nyingi ( kama 3 tu ) Mtanange uweze Kumalizika rasmi.
sio kila kitu tunaomba ruhusa serikalini kwani wao walivyofanya hivyo vitendo waliomba ruhusa
 
Sihitaji kupamba pamba na ningetamani ujumbe huu umfikie.
Rais wa Afrika kusini na serikali yake yote wanawanibika kwa mauaji ya chuki yanayoendelea nchini humo sasa.
Iwapo hatua kali hazitachukuliwa mapema,hali hii itachafua hali ya hewa Afrika nzima na kudumaza uchumi wa bara hili.
Ningekuwa na uwezo,ningevamia nchi hii ili kulinda raia wanaoonewa
 
Sihitaji kupamba pamba na ningetamani ujumbe huu umfikie.
Rais wa Afrika kusini na serikali yake yote wanawanibika kwa mauaji ya chuki yanayoendelea nchini humo sasa.
Iwapo hatua kali hazitachukuliwa mapema,hali hii itachafua hali ya hewa Afrika nzima na kudumaza uchumi wa bara hili.
Ningekuwa na uwezo,ningevamia nchi hii ili kulinda raia wanaoonewa
Nadhani anajiandaa kuwajibika.
 
hakuna raia wanaoonewa bali waafrica kusini wamechoka wageni wanaoharibu vijana kwa kuwauzia madawa ya kulevya, wageni wamegeuza mitaa ya africa kusini kuwa drug dealers war zone! wanachofanya waafrica kusini ni sahihi
 
hakuna raia wanaoonewa bali waafrica kusini wamechoka wageni wanaoharibu vijana kwa kuwauzia madawa ya kulevya, wageni wamegeuza mitaa ya africa kusini kuwa drug dealers war zone! wanachofanya waafrica kusini ni sahihi
Nakubaliana na hili kabisa. Wanaoleta fujo wanakerwa na wauza madawa ya kulevya. Lakini pia viko vikundi vya wauza madawa ambavyo vinasigana kwa ajili ya "kumiliki eneo" la kufanyia hiyo biashara haramu. Wapo watu wa mataifa mengine ambao wameajiriwa kwenye serikali ya SA ambao hawaguswi kabisa na hao vijana wanaoua watu weusi. Viongozi wa kisiasa hawachukui hatua za kukomesha hali hii ndio maana imefikia hapo.
 
Back
Top Bottom