Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Bora kufanya legal kwa sababu hata wakikataza wataendelea tuu kwa njia za uchochoroni,hayo mambo waachiwe wanawake na madaktari wao na wapenzi wao ndio waamue lakini kuweka sheria kukataza naona ni kupoteza muda tuu na msilete sababu za dini humu maana sio kila mtu anaamini mungu na sheria zetu hazijawekwa kufuata dini yeyote,kama wewe hutaki abortionmkwa ajiri ya dini yako then fine lakini usilazimishe wengine kutokana na dini yako!
Pumbavu mkubwa wewe. Kama kuua binadamu ni kosa kwa nini kutoa mimba kuwe rukhsa? Kwani unachotoa siyo binadamu? Mshenzi mkubwa wewe