Serikali ya Tanzania yakopa tsh billion 360

96f5e1e5cfd0a15ec9dd96c2936f7df9.jpg
Vp tunaanz lini kuwa donor country
 
Hali ni mbaya jamani, kila mtu kwa imani yake amwombe Mungu taifa lisije lkaangamia.
 
Mi sijaamini hii taarifa...Si kila mwezi tunaambiwa kuna makusanyo ya matrilioni ambayo awamu iliyopita haijawahi kukusanya kiwango hicho kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom