Serikali ya Tanzania yakopa tsh billion 360

Duh.... Makusanyo ya kodi kwa mwezi ni 1T. Halafu tunakopa 360B? Sasa nimeamini zile data za watoza ushuru ni za kupikwa tu!!!!
 
Kikwete alibezwa sana.
Sasa hivi tunajibanza ktk kauli ya kuwa na masharti nafuu
JK alikuwa anatembeza kibaba kwenda kuomba. Mbona hata serikali ya USA inakopa world bank nini cha ajabu!! au kwa sababu ni serikali ya JPM?
 
Hahahaahaaa
Dah! Aisee Mkuu wa nchi kachemka Mapema namna hii!
Yani mwaka mmoja tuu kakopa BILION 360
mmh! Nashauri AReview upya Vipaumbele vya Serikali kununua CASH Mandege ya gharama ni kosa kubwa sana, Rais Kubana safar za kwenda Nje ilikubana Matumizi ya pesa za Umma halafu ETI UNAKUJA KUKOPA KWA MASHARTI NAFUU ( maana yake kuna RIBA fulani very Amaizing)
"HAPO KANIKERA KABISA"
 
Huo ni uzushi,yaani serikali ikope pesa ndogo hivo?
Mkuu.....
Wewe ukipewa Bilion 1 leo, itakupasa utumie laki 1 kila siku hadi mwaka 2048.
Hapa namaanisha.....
Utatisua laki moja daily hadi baada ya miaka 32+ ijayo.
Hiyo ni Bilion moja.
Sasa iweje useme Bilion 360 ni pesa kidogo....
 
Kama tunakopa just Bilioni 360, hii inanifanya nifikiri kuwa siku hizi TRA hawafikisha Makusanyo hata bilioni 700!
kumbe bora hata tungelipa bombadia kwa awamu...kujinasibu kuwa tumelipa keshi siyo mkopo alizani ni sifa? mmh inabidi afundishwe japo elementary economics akawa na uelewa wa mambo ya uchumi unavyo work....duh 360b si thamani ya zile ndege zote mbili kweli. nachoka miye
 
Mkuu.....
Wewe ukipewa Bilion 1 leo, itakupasa utumie laki 1 kila siku hadi mwaka 2048.
Hapa namaanisha.....
Utatisua laki moja daily hadi baada ya miaka 32+ ijayo.
Hiyo ni Bilion moja.
Sasa iweje useme Bilion 360 ni pesa kidogo....
Kwa serikali kukopa pesa kama hiyo ni aibu,ina vyanzo vingi mkuu,
 
Back
Top Bottom