Serikali ya Tanzania yakopa tsh billion 360

mkuu wa nchi atengue kauli tena ikibidi atuombe msamaha watanzania alitamka kwa mdomo wake kuwa nchi hii hatuwezi kukopa kwani tunavyanzo vingi vya kuliingizia taifa kipato ikiwemo kubana matumizi,watumishi hewa n.k leo tena anatutia aibu miaka hata miwili haijapita kavuta bilion 360.....
Napata wasiwasi kama angekuwa kiongozi mwingne nadhani angeachishwa kazi kwa upepo wa huyu shah..
 
HIVI DENI LA TAIFA SAHIVI LIMEFIKIA KIASI GANI?NINGEPENDA KUFAHAMU..

OVA
 
Kama tunakopa just Bilioni 360, hii inanifanya nifikiri kuwa siku hizi TRA hawafikisha Makusanyo hata bilioni 700!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…