slave master is a slave
Member
- Dec 11, 2016
- 88
- 124
Abadilishe matumizi akalipie ndege zingine kama kawaida
B 360 ni kidogo?Huo ni uzushi,yaani serikali ikope pesa ndogo hivo?
Kwani mkuu hufuatilii vyombo vya habari.....wewe unaona ndogo wakati wenzako walipiga mpk za rambirambi kwa watu wa kagera......hakunaga kidogo usawa huu.Huo ni uzushi,yaani serikali ikope pesa ndogo hivo?
HahahaaKwani mkuu hufuatilii vyombo vya habari.....wewe unaona ndogo wakati wenzako walipiga mpk za rambirambi kwa watu wa kagera......hakunaga kidogo usawa huu.
Trillion 62.9HIVI DENI LA TAIFA SAHIVI LIMEFIKIA KIASI GANI?NINGEPENDA KUFAHAMU..
OVA