Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,656
Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu.
Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi tena wakiwa katika sare zao.
Je, mchezo huu unaofanywa na polisi unaendana na mkataba wa Geneva kuhusu huduma ya afya kwenye operesheni za kijeshi?
Tunajuaje endapo hizo Ambulance zinatumkwa na polisi kuwaondoa majeruhi wanaotokana na ukatili wao na kwenda kuwamaliza huko mbele?
Hivi, Msalaba Mwekundu na Green Cressent wamegoma kuwepo eneo la matukio ya hao mapolisi dhidi ya raia?