Cushite
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,886
- 3,578
Ingawa sijasikia kama Sudan na wao wameomba kuwa wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki, but Sudan ya kusini tayari ni mwanachama wa EAC muda mrefu sasa. Ninachojua ni Somalia ndo wameomba kujiunga na juzijuzi Congo DRC na wao wameonesha nia wakati rais wao alipotembelea Kenya.Walioomba kujiunga na jumuiya ya Afrika mashariki ni South Sudan sio hao wa Khartoum