Serikali ya Saudi Arabia imejenga hoteli kubwa kuliko zote duniani

Pia wewe mwarab kwa pesa unamjua unamskia...
Vilabu vyote vya soka vya uingereza hv punde vinaelekea kuwa chini ya mwarab stay tuned.
That means nothing. We unafikiri kumiliki club ya mpira ndo kuongoza kiuchumi? Levels za maendeleo walizofikia wazungu waarabu badoooo sanaaaaaaaaaaaaa! System zao za uongozi ni za ovyo sana hela nyingi ziko mikononi mwa wachache.
 
Hii hotel haijajengwa bado na hiyo picha ni plan tuu, sasa itafunguliwa vipi 2017? kuthibitisha hilo, Iangalie katika google map kama ipo?
 
Hii hotel haijajengwa bado na hiyo picha ni plan tuu, sasa itafunguliwa vipi 2017? kuthibitisha hilo, Iangalie katika google map kama ipo?

Inajengwa.

Angalia ujenzi unavyoendelea katika YouTube au Google.

494290e19629afb4f39ba8badce720d1.jpg
 
Inajengwa.

Angalia ujenzi unavyoendelea katika YouTube au Google.

494290e19629afb4f39ba8badce720d1.jpg

Hii picha uliyoweka ni ya zamani sana ya upanuzi wa msikiti na sio hii hotel.

Hotel ilipokua ijengwe ni mbali na msikiti kama inavyoonyesha hapo chini
BQD1r6VCcAAUAq1 (1).jpg
 
Mashaallah Allah awafanyie wepesi,Siku sii chache wazungu watakuwa wametawaliwa na waarabu na wa asia

Unaota ndoto. What will rule the world is technology and innovation. Saudi kingdom will soon crumble. All it knows and good at is exporting extremism in the name of Wahhabism.
 
helicopter inatekwa afu inaelekezwa hapo wanaipokea wakidhani wanapokea wateja wao wanacho kutana nacho ni tofauti kabisa

kabla ya kuamua cha kufanya shambulizi linatokea na wavamizi wanasonga ndani.

huku wakiwa na ramani yote ya jengo na hata ule mlango wa siri wa kutoka unao tumiwa na watu maalumu kama mfalme. baada ya kukinukisha hapo wanasepa zaĸo.

ishi kumbe nilikuwa naota tu...
Andika script, hollywood watainunua! Una kipaji cha kutunga kaka...
 
Hii picha uliyoweka ni ya zamani sana ya upanuzi wa msikiti na sio hii hotel.

Hotel ilipokua ijengwe ni mbali na msikiti kama inavyoonyesha hapo chini
View attachment 380973

Sikiliza. Vyombo vyote vya habari vimetangaza kuwa hii hoteli itafunguliwa mwaka 2017.

Mimi siyo mtaalamu wa ramani wala ujenzi. Nimetoa hiyo picha katika tovuti ya chombo cha habari.

Kuna zaidi ya hoteli inayojengwa. Kuna conference center , etc.

Mimi binafsi ninaamini kuwa hoteli inajengwa as we speak na itamalizwa mwakani baada ya kusoma habari sehemu tofauti ya mtandao.

Sikulazimishi uamini hii habari. Wewe uko huru kuamini chochote utakacho.
 
Sikiliza. Vyombo vyote vya habari vimetangaza kuwa hii hoteli itafunguliwa mwaka 2017.

Mimi siyo mtaakamu wa ramani wala ujenzi. Nimetoa hiyo picha katika tovuti ya chombo cha habari.

Kuna zaidi ya hoteli inayojengwa. Kuna conference center , etc.

Mimi binafsi ninaamini kuwa hoteli inajengwa as we speak na itamalizwa mwakani baada ya kusoma habari sehemu tofauti ya mtandao.

Sikulazimishi uamini hii habari. Wewe uko huru kuamini chochote utakacho.
Mimi najaribu kukusahihisha ili utoe habari sahihi, mimi naongea hivi nikiwa nchi husika na hakuna kinachoendelea.
Tumalize mjadala wetu hapa, mungu akituweka hai tukumbushane 2017, tarehe unayoamini hii hotel itafunguliwa
 
Kwa maana hiyo mkuu jamaa katuingiza kingi?!
 
Back
Top Bottom