Serikali ya Saudi Arabia imejenga hoteli kubwa kuliko zote duniani

Tokyo40

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,065
1,924
Serikali ya Saudi Arabia imejenga hoteli kubwa kuliko zote duniani hapo Makka.
Inategemea kufunguliwa rasmi mwakani, 2017.

Vyumba: 10,000

Tower: 12 , kila moja ina ghorofa 45

Hoteli za kula : 70

Sehemu ya kushuka helicopter: 5

Tower 10: zitatowa 4 star service

Tower 2: zitatowa 5 star service kwa wageni maalum.

Gharama : US$ 3.5 billion

Ghorofa kwa ajili ya familia ya Kifalme ya Saudi Arabia tu : 5

Floor Area yote : 1.4 million square meters

Bei za vyumba: Hazijapangwa

e7fbd89769d4007a2db3759415dc6060.jpg

Hotel Abraj Kudai
 
Siku hiyo nchi ikiingia kwenye vita,kitu cha kwanza maadui watatungua hivo vitu vyao wanavyovijenga kwa ghalama.
 
mm nilikua nasemea tu ila kama ww plan zako zinakwenda vizuri kila la heli.
kwasababu sisi wengine ndege tu tumeishia kuziona airport.
Hujapanda hata Fasjet kaka mwaka panga kupanda Ndege uende mkoa wako Mimi Mwaka Huu Nina mpango wa kupanda Chopper nizunguke Jiji La Dar kwa Juu
 
Hujapanda hata Fasjet kaka mwaka panga kupanda Ndege uende mkoa wako Mimi Mwaka Huu Nina mpango wa kupanda Chopper nizunguke Jiji La Dar kwa Juu
itakuwa vizuri mtu unaweza ukaja kufa haujawahi kupanda hata ndege wakati siku hizi hivyo vitu ni vya kawaida tu
ukiwa malengo.
mm kunakipindi nimewahi kufikiria nifanye hivyo lakini ilishindikana sii unajua maisha yetu ya kiafrika ukipata pesa kidogo inagawanyika kwenda sehemu nyingi sana kwasababu tuna matatizo mengi zaidi ya haya tunayo yaona.
 
helicopter inatekwa afu inaelekezwa hapo wanaipokea wakidhani wanapokea wateja wao wanacho kutana nacho ni tofauti kabisa

kabla ya kuamua cha kufanya shambulizi linatokea na wavamizi wanasonga ndani.

huku wakiwa na ramani yote ya jengo na hata ule mlango wa siri wa kutoka unao tumiwa na watu maalumu kama mfalme. baada ya kukinukisha hapo wanasepa zaĸo.

ishi kumbe nilikuwa naota tu...
 
script nzuri sana hii mkuu hahahaa
ngoja nikawauzie sony picutres, wakikubali nakupa commission yako, teh teh
 
Hapo jangwani hapo daah..

Huku kwetu kwenye Maziwa Asali na Rutuba on hold mpaka 2020
 
Siku hiyo nchi ikiingia kwenye vita,kitu cha kwanza maadui watatungua hivo vitu vyao wanavyovijenga kwa ghalama.

Saudi Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani na ni uhai wa uchumi wa dunia. Marekani inamlinda.

Hivo vita vitakuwa vita vikuu vya dunia, siyo tu Marekani itaingilia bali pia Waislamu wa dunia nzima watapigana kwa sababu ya miji ya Makka na Madina.
 
Back
Top Bottom