LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,496
- 3,389
Ndoto zingine sijui inamaanisha nini.
ifuatayo ndo list ya uongozi wa nchi ya chitchat!
1. Arushaone - rais
2. Blaki Womani - makamu rais
3. PakaJimmy - PM
4. Filipo - waziri wa maji
5. LiverpoolFC - waziri wa michezo
6. Lily Flower - waziri mali asili
7. Erickb52 - waziri wa jinsia wanawake na wtt
8. Asprin - waziri wa afya
9. Mungi - waziri wa fedha, mambo ya nje, nishati na madini, ujenzi na viwanda na biashara.
10 Mr Rocky - sheria na katiba
11 Preta - IGP
12 sweetlady - waziri ofisi ya waziri wa fedha
13 King'asti - waziri ofisi ya waziri wa nishati
14 Madame B - waziri ofisi ya waziri wa ujenzi
15 Kipipi - waziri ofisi ya waziri wa viwanda
16 Zinduna - waziri wa habari michezo
17 Ruttashobolwa - waziri wa mazingira
18 Judgement - chief justice
19 marejesho - AG
20 Mzee wa Rula - waziri wa elimu
21 manoah (rest in server) - waziri wa ulinzi
22 Smile - waziri wa sayansi
23 Dark City - mkuu wa magereza
24 Kaizer - kilimo
25 watu8 - mkuu wa majeshi
26 FirstLady1 - TISS
NB:
maswali kuhusu kwanini warembo kibao wizara ya fedha, nishati, viwanda na mambo ya nje hayatajibiwa.
Ana mme cacico? Kuanzia lini?
Kwa taarifa yako hawara yangu wa buguruni malapa anayeitwa bi kidawa jana kanizalia mtoto,tumemwita Havintishi....mi iko itwa baba havintishi,gotcha?Acha umbea wewe mwanaume khaaaaa!!!!!!!!!!
Watu tuna Ring zetu za Tanzanite na Gold vidoleni.
Na kwa taarifa yako,kama ulikuwa na mpango wa kumnyatia umenoa Bishanga.
Utajijuuuuu......!!!!!!!!!!!!!!
Na kama ulikuwa Hujui ni kwamba TUNAKUANDALIA MSUTO MWINGINE Wewe na Baba V,
Mwaka Huu mpaka muhame Jiji.
Hivi wajameni mmenionea wapi wakati ndio sasa?
Kwa taarifa yako hawara yangu wa buguruni malapa anayeitwa bi kidawa jana kanizalia mtoto,tumemwita Havintishi....mi iko itwa baba havintishi,gotcha?
sasa wewe huna mke unataka upewe wizara gani? Subiri uDC!
nataka tu nijue wapi ikulu...kuna maandamano nataka niyafikishe hapo
Hiyo nafasi ya IGP aliyowekwa Preta si ndio tunarudisha enzi za Mahita?
Hakuna cha fastjet wala slowjet Lily Flower! Hapa unaondoka na GOVERNMENT FLIGHT. Wewe siyo raia!
Unamtakia nini?
Ndoto zingine sijui inamaanisha nini.
ifuatayo ndo list ya uongozi wa nchi ya chitchat!
1. Arushaone - rais
2. Blaki Womani - makamu rais
3. PakaJimmy - PM
4. Filipo - waziri wa maji
5. LiverpoolFC - waziri wa michezo
6. Lily Flower - waziri mali asili
7. Erickb52 - waziri wa jinsia wanawake na wtt
8. Asprin - waziri wa afya
9. Mungi - waziri wa fedha, mambo ya nje, nishati na madini, ujenzi na viwanda na biashara.
10 Mr Rocky - sheria na katiba
11 Preta - IGP
12 sweetlady - waziri ofisi ya waziri wa fedha
13 King'asti - waziri ofisi ya waziri wa nishati
14 Madame B - waziri ofisi ya waziri wa ujenzi
15 Kipipi - waziri ofisi ya waziri wa viwanda
16 Zinduna - waziri wa habari michezo
17 Ruttashobolwa - waziri wa mazingira
18 Judgement - chief justice
19 marejesho - AG
20 Mzee wa Rula - waziri wa elimu
21 manoah (rest in server) - waziri wa ulinzi
22 Smile - waziri wa sayansi
23 Dark City - mkuu wa magereza
24 Kaizer - kilimo
25 watu8 - mkuu wa majeshi
26 FirstLady1 - TISS
NB:
maswali kuhusu kwanini warembo kibao wizara ya fedha, nishati, viwanda na mambo ya nje hayatajibiwa.
hahaaaaaaa afu ndoa inazidi kuharakishwa na suala la uraiaNani wa hivyo msije mkaniulimboka nabaki hapa hapa nitakuwa raia soon maana ndoa yangu na Waziri wako mwenye wizara nyingi na nyeti hi hivi karibuni.
Kama waolewa na MH Mungi, umepona!