Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Trillion 6..... Seriously? Tena kwa siri.. Halafu kimyakimya... Sasa nimejua nini maana ya kutembea kifUa mbele2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
KWA SERIKALI HII YA KABUDI YOTE YANAWEZEKANABarua gani isiyo na signature
Sijawahi ona barua official au taarifa official haina signatureKWA SERIKALI HII YA KABUDI YOTE YANAWEZEKANA
Hii lugha ya malkia kweli ngumu. chotera, si heri umtafute tu mtu wa karibu akutafsiriye yaliyomo kwenye hiyo barua? Halafu mnavyokuwa wepesi kuchangia mada kama hizi...hivi mnapata wapi ujasiri wa kuchangia vitu msivyovielewa?Kwahiyo wamekiri nini sasa
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
View attachment 1456914View attachment 1456917
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Wakati matamko yanatolewa kuwa tunajenga kwa pesa za ndani, kuna mengi tu yataibuka kadri siku zinavyoenda.
Shida kubwa ni woga wa waliopewa nafasi serikalini kutosema ukweli.
Kukopa sio dhambi, unakopeshwa kwa sababu unaweza kulipa. Na unapolipa unalipa na pesa zako za ndani hivi unapata wapi ujasiri wa kuweka vitu ambavyo hata kusoma huelewi?
FYI Mwezi tu huu moja UK wamekopa £63 billion, itakuwa Tanzania kukopa hiyo change?
Kukopa sio dhambi, unakopeshwa kwa sababu unaweza kulipa. Na unapolipa unalipa na pesa zako za ndani hivi unapata wapi ujasiri wa kuweka vitu ambavyo hata kusoma huelewi?
FYI Mwezi tu huu moja UK wamekopa £63 billion, itakuwa Tanzania kukopa hiyo change?
Trilioni 6 kwa tarakimu ni Tsh. 6,000,000,000,000/=.Trillion 6 ni ndefu. Hivyo kama si Covid 19 mambo yange endelea kuwa siri! 🙆♂️