Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

IMG_20200522_202718.jpg
IMG_20200522_202732.jpg

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
 
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914View attachment 1456917
Trillion 6..... Seriously? Tena kwa siri.. Halafu kimyakimya... Sasa nimejua nini maana ya kutembea kifUa mbele

Jr
 
Donor country hatukopi.
Rais atakaeingia 2025 atakutana na madeni mengi hadi achanganyikiwe.
Tuliambiwa sgr na nyerere ni pesa za ndani, makusanyo makubwa kumbe hewa tupu.

Sasa wanabembeleza mabeberu waweze kusamehewa.

Deni la sasa liko under-reported kwa 6 Trillion TZS. Yaani toka mzee ameingia amekopa zaidi ta Trillion 30 kwa miaka 4 kujengea sgr na nyerere hydro.

Hii nchi baada ya miaka 4 ijayo itakua haikoposheki tena maana deni litakuasio himilivu.
 
Ila utafanyaje kama una very unproductive economy na watendaji vichwa maji..
Mr President achana na PHDs ..find good guys from private sector plus commercializing some of the government services.....
Tutaendelea kuomba hadi lini
 
Wakati matamko yanatolewa kuwa tunajenga kwa pesa za ndani, kuna mengi tu yataibuka kadri siku zinavyoenda.

Shida kubwa ni woga wa waliopewa nafasi serikalini kutosema ukweli.
 
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T

Sasa ni wapi hapo Serikali imesema inataka nafuu ya madeni kutokana na COVID-19? Je, wapi Serikali imekiri kutokufuata kanuni? BTW hizi mnaweka lakini zile za Mbowe mnaficha.
 
Wakati matamko yanatolewa kuwa tunajenga kwa pesa za ndani, kuna mengi tu yataibuka kadri siku zinavyoenda.

Shida kubwa ni woga wa waliopewa nafasi serikalini kutosema ukweli.

Kukopa sio dhambi, unakopeshwa kwa sababu unaweza kulipa. Na unapolipa unalipa na pesa zako za ndani hivi unapata wapi ujasiri wa kuweka vitu ambavyo hata kusoma huelewi?

FYI Mwezi tu huu moja UK wamekopa £63 billion, itakuwa Tanzania kukopa hiyo change?
 
Wanakopa kwa siri au?
 
39 Reactions
Reply
Back
Top Bottom