Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter

View attachment 1456914View attachment 1456917

Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T
Fake news jamiiforums imekuwa fake sana siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukopa sio dhambi, unakopeshwa kwa sababu unaweza kulipa. Na unapolipa unalipa na pesa zako za ndani hivi unapata wapi ujasiri wa kuweka vitu ambavyo hata kusoma huelewi?

FYI Mwezi tu huu moja UK wamekopa £63 billion, itakuwa Tanzania kukopa hiyo change?
Tatizo sio kukopa,kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa mpaka Kikwete wote walikopa. Tatizo linakuja pale unaposimama majukwaani na kujitapa kuwa wewe ni Donor Country na miradi yote imelipwa kwa fedha za ndani,pia kuwananga hadharani watangulizi wako kwa kukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kukopa,kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa mpaka Kikwete wote walikopa. Tatizo linakuja pale unaposimama majukwaani na kujitapa kuwa wewe ni Donor Country na miradi yote imelipwa kwa fedha za ndani,pia kuwananga hadharani watangulizi wako kwa kukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kama tusingekuwa donor country tusingeweza kuwakomboa nchi za kusini mwa Afrika.
 
Tatizo sio kukopa,kuanzia Nyerere,Mwinyi,Mkapa mpaka Kikwete wote walikopa. Tatizo linakuja pale unaposimama majukwaani na kujitapa kuwa wewe ni Donor Country na miradi yote imelipwa kwa fedha za ndani,pia kuwananga hadharani watangulizi wako kwa kukopa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo ukikopa hujatumia pesa zako? Labda ungeniambia tumeomba msaada.
 
Wanakopa kwa siri au?

Nchi inapokopa huwa haitangazi, ni huyu Zito tu anawapotosha kwa sababu zile pesa alizokuwa anapiga wakati wa NSSF zilikatwa. Muda wake utafika ataishi kama tunavyoishi raia wa kawaida.
 
Back
Top Bottom