Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
2019/2020 Serikali ya Rais @MagufuliJP , ilichukua Mikopo ya Kibiashara yenye riba kubwa KWA SIRI kutoka kwenye mabenki ya biashara ya Standard Chartered (USD 1.5B), Eastern and Southern African Trade and Development Bank (USD 1B) na Credit Suisse (USD 200M). Jumla TZS Trilioni 6 Zitto MwamiRuyagwa Kabwe on Twitter
Kutokana na Serikali kutaka nafuu ya madeni kutokana na Covid 19 imebidi ieleze ukweli kwa Benki ya Dunia. Serikali imekiri kutofuata kanuni za kuweka wazi mikopo hii ya kibiashara na hivyo kuomba isamehewe, na sasa mikopo hiyo itambuliwe. Deni la Taifa understated kwa TZS 6T