Elections 2010 Serikali ya Kikwete imeleta maendeleo kwa watanzania

Not long ago India was like this , and look what has had happened in the recent years. India has become the economic powerhouse, global IT hub, and leading economic investor in Africa esp. East Africa. CCM has a better plan to achieve what India has been able to achieve in a few years. Vote CCM and the dream that every Tanzanian has will be realized soon. Chadema and CUF are fear mongerers and full of dumb policies that perpetuate Xenophobia.
Vote CCM.
Long live JK

Wewe tunajua unahitaji nini toka kwa uongozi wa CCM, vote for them wewe mwenyewe!! Nyinyi mnatumia ujinga wao kutuibia wananchi. Vote for them, it is not necessary to go through India's path. Our path is different my dear! We want the out and give others chance to lead!!

It is your right to say, but CCM stinks!!
 
kidumu chama cha mapinduzi...........................naomba mjiu please.......................kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
watu wasongea walishika mikono kichwani na kusema uwiiiiiiiiiiiii
 
wakati huo huo, kampeni za ccm ni mini-fiesta:

supporters.jpg

hahah hivi na wale wa makempu wako wapi!??
Si ndo hawahawa walikuwa wanafadhiliwa na chechem
 
Wanaweza kuhamia hapa, Haya mambo ya kukimbilia mijini yana matatizo yake

Vilhelmiinan%20kuvat%20020-4.JPG



Wakihamia hapo wote, ndo maana Dar inatushinda kuendeleza!!

Tumebaki na ndoto za kujenga Kigamboni ya kusadikika!!!:A S 112:
 
Kama kweli ni maendeleo ndiyo hayo lakini katika mtindo hasi, ambao hata kama mtu ni kichaa hawezi kuridhishwa nayo.:llama:Si unamwona huyo mnyama anavyokimbia asiliwe na simba? ndivyo na wabongo wanavyopaswa kukimbia viongozi wa aina hiyo.
 
Kama kweli ni maendeleo ndiyo hayo lakini katika mtindo hasi, ambao hata kama mtu ni kichaa hawezi kuridhishwa nayo.:llama:Si unamwona huyo mnyama anavyokimbia asiliwe na simba? ndivyo na wabongo wanavyopaswa kukimbia viongozi wa aina hiyo.

Kinana atakwambia kuwa watanzania hawawezi kukimbia maana hawajui watakimbilia wapi
 
Invisible .... tumeambiwa kuwa tuache lugha za matusi na kejeli. Inabidi tu sasa picha ziongee kwa niaba yetu.

mama weeeee hii imenichekesha sana...dahh hivi nikitaka kupreint hizi picha nikaweka mabango naruhusiwa...hahaaaa
 
Back
Top Bottom