Serikali ya Kikwete Imefanya nini 2005-2015...

Akili fupi hii, gesi ilinayochimbwa leo unafikiri iligunduliwa mwaka jana? Hivyo na uwekezaji na mipango mingine pia utekelezaji wake ni hatua. "Mtaji wa mjinga ni majungu" We endelea kupiga majungu Serikali inapiga kazi.
 
Ccm hawatakiwi kujinadi kwa nguvu na jasho ila umri wao ktk siasa na sera zao na kiwango cha utekelezaji wa sera zao wananchi wakiviona hivyo,hakuna wakuibeza ccm.lakini kama ni maneno na maandishi tu hata mwana ccm ataikana ccm.
 
Mji wa Dar kupambwa na magorofa ya Kisasa kabia
hili hapa ni la Agens ya serikali
TPA (Tanzania Port Authority)



Kazi inafanyika kama hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…