Habari zilizopo hewani ni kwamba serikali ya watu nchini kenya imeamua kwa moyo wa huruma kuwafidia wafugaji wa nchi hiyo ambao mifugo yao ilikamatwa na kupigwa mnada kwa bei ya kutupa nchini Tanzania
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Bado anadaiwa sio ni lazima alipe maana hayo ni makubaliano ingekuwa vigaranga vimekutwa na mkenya hilo hasara ingekuwa ya mkenyaHakununua alikopa
Kenya kama hasara ni ya mtanzania kwa nini waziri wa mambo ya nje ya Kenya na serikali ya Kenya ikomae kusema vifaranga vya Kenya vimechomwa wakati ownership ya hivyo vifaranga ilikuwa mikononi mwa mtanzania? Kwa nini wakomae hadi kumwita balozi wa Tanzania eti ajieleze kwa nini vifaranga vya mkenya vilivyochomwa moto wakati vifaranga sio vyao? Kwa nini na media zao zikomae kwa Mali isiyo ya Kenya kisheria?Mkuu sasa ukipata kitu kwa mkopo ndio unakuwa hujanunua? Alinunua ila ni kwa mkopo na anatakiwa alipe hilo swala la kuunguziwa vifaranga linamhusu mtanzania na anatakiwa alipe deni la watu kule alipokopa(samahani kukuuliza hili swali mkuu ulishawahi kufanya biashara?)
Habari zilizopo hewani ni kwamba serikali ya watu nchini kenya imeamua kwa moyo wa huruma kuwafidia wafugaji wa nchi hiyo ambao mifugo yao ilikamatwa na kupigwa mnada kwa bei ya kutupa nchini Tanzania .
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Kwani huyo Mike sonko gavana wa Nairobi ambaye ngombe zake pia zimeshikwa ni mtanzania?....kwani yeye ni raia wa Somalia?
Mleta mada ni mkenya huwa anajitia eti wa rombo immigration kazi kwenu kumdakaChadema ni wakenya. Unganisheni dots
....Ni mkenya na ndiyo maana setikali yake sikivu inayojali raia wake imemlipa fidia. Nasikia pia serikali yetu sikivu inafikiria kumlipa fidia yue binti yetu aliyemaliza chuo juzi milioni zake 12 za vifaranga waliohukumiwa kwenda motoni.Kwani huyo Mike sonko ni mtanzania?
Si tu kuunga mkono wana encourage kuwa endeleeni kupekeka ngombe zenu Tanzania in case of anything we will compasate youKwa maana nyingine serikali hiyo imeunga mkono kitendo cha raia wake kuvunja sheria za nchi nyingine kwa kufanya " crininal trespass" ?
Ni maajabu nchi kushawishi wananchi wake kwenda kufanya uhalifu kwenye nchi nyingine na wakichukuliwa hatua basi nchi inawafidia???Si tu kuunga mkono wana encourage kuwa endeleeni kupekek ngombe zenu Tanzania in case of anything we will compasate you
Ni Sera ya kijambazi na ya kihalifu ya Mambo ya nje ya Kenya.It means Sera ya nje ya Kenya ya serikali ya Jubilee ni kuleta majambazi na wahalifu Tanzania kuja kufanya uhalifu wakiwa na support ya serikali yao.Ni maajabu nchi kushawishi wananchi wake kwenda kufanya uhalifu kwenye nchi nyingine na wakichukuliwa hatua basi nchi inawafidia???
Vipi waliofiwa na maelfu ya ngombe zao kwa ukame waliwafidia?Inajali watu wake
Tanzania huijui watanzania wengi hawajali kuwa una pesa au bilionea Ndio maana uchaguzi uliopita walimpa uraisi magufuli wangekuwa wanajali nani ana pesa na wangempa Lowasa kuwa Raisi .Money is not everything in Tanzania take note when you deal with Tanzania.Many Tanzanians motivation factor is not money or richness like in KenyaSahau kabisa fukara Tanzania kupambana na kibopa Kenya , mtaumia vibaya sana !