Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,716
- 218,263
Mmmmmm hiyo mifugo ilikuwa yake au ya familia za wanasiasa wa Kenya? Yule alikuwa mchunga ngombe tu .Kichwa cha habari kisomeke wanasiasa wa Kenya wamiliki ngombe zilizoshikwa Tanzania wawaibia wakenya kodi zao na wajilipa fidia ya ngombe zao walizokuwa wakilisha Tanzania kinyume cha sheriaHabari zilizopo hewani ni kwamba serikali ya watu nchini kenya imeamua kwa moyo wa huruma kuwafidia wafugaji wa nchi hiyo ambao mifugo yao ilikamatwa na kupigwa mnada kwa bei ya kutupa nchini Tanzania .
Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya .
Nawaonea wivu sana Wakenya .people's government
Sihusiki na hizo porojo zako .Mmmmmm hiyo mifugo ilikuwa yake au ya familia za wanasiasa wa Kenya? Yule alikuwa mchunga ngombe tu .Kichwa cha habari kisomeke wanasiasa wa Kenya wamiliki ngombe zilizoshikwa Tanzania wawaibia wakenya kodi zao na wajilipa fidia ya ngombe zao.
Ngombe hizo zilizoshikwa mmojawapo wa wamiliki ni gavana wa kajiado fisadi ole lenku na gavana Mike Ole sonko gavana wa NairobiSihusiki na hizo porojo zako .
Justify kaka LA sivyo kutakuwa tunachamba kwa majani ya mgomba tu hapo..kwa kweli Yale hayakuwa maamuzi mazuri hata kidogoMmmmmm hiyo mifugo ilikuwa yake au ya familia za wanasiasa wa Kenya? Yule alikuwa mchunga ngombe tu .Kichwa cha habari kisomeke wanasiasa wa Kenya wamiliki ngombe zilizoshikwa Tanzania wawaibia wakenya kodi zao na wajilipa fidia ya ngombe zao walizokuwa wakilisha Tanzania kinyume cha sheria
Usilolijua ni kama usiku wa giza wafugaji wa Kenya mifugo yao inakufa kwa ukame kwa maelfu na ushahidi upo serikali ya Kenya haijawahi wafidia!!!! Wanajifidia wanasiasa wamiliki hizo ngombe hujiulizi swali dogo tu kwa nini mumiliki wa vifaranga mkenya vilivyopigwa moto Tanzania mbona hawajamfidia huyo mkenya mwenzao aliyemuuzia mtanzania? jibu huyo Muuza vifaranga mkenya sio mwanasiasa kule KenyaNawaonea wivu sana Wakenya .
Mmmmmm hata Mungu hakumpenda Jirani yake shetani kule mbinguniMpende jirani yako kama nafsi yako.
Hii ni moja ya amri kuu.
Welcome to the economic war groundstutegemee vita kali Kati ya TZ na Kenya kwenye uchumi
Hii ni KUFURU. Tafadhali Yehodaya mwombe Mungu wako msamaha. Kufuru hii adhabu yake ni KIFO.Mmmmmm hata Mungu hakumpenda Jirani yake shetani kule mbinguni
Shetani alikuwa Jirani wa Mungu mbinguni au hilo hujui? Akaleta za kuleta akajikuta jehanamu na hajasamehewa hadi Leo anakiona cha mtema kuni.Yuda iskariote alikuwa jirani wa Yesu alipoleta za kuleta unajua kilichomkuta? Ujirani sio kufanyiana ushetani tafadhali usinilazimishe kuamini unachoamini .Jirani shetani anatakiwa ashughulikiwe kama baba yake shetani alivyoshughulikiwa mbinguni kwa imani yanguHii ni KUFURU. Tafadhali Yehodaya mwombe Mungu wako msamaha. Kufuru hii adhabu yake ni KIFO.
Hakununua alikopaMkuu vile vifaranga aliepata hasara ni mtanzania na si mkenya Mtanzania alinunua vifaranga kwa mkenya na mtanzania kakamatwa na hivyo vifaranga kwa kuvipitisha mpakani kinyume cha sheria sasa mkenya amepataje hasara hapo?