Serikali ya JK yakiri kumshindwa MWANAMAPINDUZI HUYU, CCM yadai hawezekaniki!

JF inarudisha nyuma maendeleo ya nchi, nguvu kazi kubwa ya nchi inapotea kwa watu kushinda wanablog humu. Malaria Sugu, Ritz, Rejao, Omr, topical, Faiza foxy wanashinda kutwa kucha kublog humu ndani je kazi wanafanya saa ngapi?

Subutuuuu, all the above wana payroll yao kwa kazi hiyo, shauri yako..!
 
Tunakupongeza na tunakulinda mkuu.Husifikiri huna ulinzi,hapana.chochote kile tutakupa kabla ya mafisadi kukufikia.Mungu akubariki sana Mkuu.keep up mkuu.Hatusikilizi redio zao sasa ni humu tu.


I hope siyo ulinzi kama ule wa sheikh Yahaya.

Just a joke. JF have been a place where I get what I want, even the so called newspapers cant give, and if they do, its so dilluted.
 
Back
Top Bottom