Serikali ya JK itakubali kuachia ngazi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya JK itakubali kuachia ngazi???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Oct 29, 2009.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
  Wakuu habari za hapa jamvini?huu ni mtizamo wangu na ningependa niwashirikishe wakuu pia. Serikali ya JK mpaka sasa imeshaharibu mambo mengi tukianzia na hili la richmond..na kutokana na unafiki wao mpaka sasa naweza kusema kuwa kilichobaki ni kuachia madaraka manake hakuna msafi hata mmoja kuanzia mkulu hadi chini huku.Sasa je kama ukifika wakati wa kumtaka Mkulu aondoke je ataondoka????????????
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kuna maana gani ya wao kuachia ngazi kama ukiitishwa uchaguzi mwingine wataingia watu wale wale? Wazo lako linafaa tu iwapo kungekua na chama kingine chenye nguvu ambacho kina uwezo wa kucapitalize makosa ya chama tawala.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Oct 30, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Usiseme srikali ya JK sema serikali ya CCM, maana kesho akitokea mwana CCM usiyewahi kumsikia kabisa na akawa rais, matendo yake, mwenendo, tabia, ni copy right na waliotangulia
   
Loading...