Serikali ya CCM yazidi kuchafuka UDOM

niliwahi kumsikia mtu mmoja akiwa anawanga wanafunzi wa UDM, eti subiri wamalize hizo degree zao, tutawaona wakati wanaomba kazi sokoni, hee!! ndiyo nikaanza kujiuliza ni kwa nini waajili wetu hawawapendi UDM? vijana teteeni taifa lenu, acheni uoga... haya, endeleeni kulilia boom lenu, wakija viongozi wa CCM, mnawapokea
 
hivi hawa si ndiyo walimchangia kikwete hela ya kuchukulia form? Mbuzi kabisa nyie, i wish msipewe hilo bumu mwaka mzima.
dogo una fail sana kwa kujumuisha wana udom wote ni ccm tena unalazimisha udom ilimchangia jk kuchukua form....kwenye jumuiya kubwa kama hii lazima watu watofautiane,wapo watakao kuwa wanachama wacdm wapo watakao kuwa cdm ktk jumuiya kubwa kama hii....pamoja na godbless lema kushinda ubunge kwa % bado kuna waliomuunga mkono mgombea wa ccm.....so,punguza uzembe wewe sio kukurupuka na upeo wako finyi na kuuleta kwn mtandao wa great thinker kama huu,unadhalilisha mtandao wa watu wanao jielewa wewe *****.
 
Back
Top Bottom