Serikali ya CCM,MSIWADHARAU WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

Money is not seawater that never dry, and resources always scarce. This is the basic and overall principle of life. Your name is a student, and receiving over 200,000 tax-free per month. While some other fellows are employees, and taking less than 200,000 per month with tax on it. Basically, we are aware that the major challenge from our incomes is extended families of which university students find to fulfill family obligations, but you should not take it at a glance. Higher education financing is among the top policy controversial world-widely. There are many African countries whose students get nothing for their higher education. Ol-in-ol, I strongly agree that the amount is relatively small, but your country also small. Having a large area of land and resource endowments does not put your country to a such extent. Corruptions, bribery, embezzlements and all other related are among the institutional challenges that also require some amount of money to tackle for. Take it sir! [/QUOTE
Good advice!,but we have to question back ourselves,that, is it fair for some employees to be paid 200,000 per month with tax on it,also with daily increasing living costs?
 
Mkuu tambua katika suala la mahitaji muhimu yaani chakula, malazi na afya binadamu wote nisawa

Swali: je posho ya mwanafunzi anapata asilimia ngapi ya posho ya mbunge kwasiku?

Sisemi wapate sawa la hasha isipokuwa nitafrahi kama utafanya breakdown ya hiyo hela ya mwanafunzi kwasiku inakaaje?

Je unadhani wazazi waliowengi wanaouwezo wa kuchangia elimu ya juu? Rejea udhaifu walau wa kulipia elimu ya msingi!

Mkuu wangu mimi sisemi ni nyingi hiyo 7500. Lakini mimi ni maskini na natokea familia masikini najua namna hiyo 7500/siku namna ilivyo "nyingi". Hao wabunge, kama ingelikuwa amri yangu ni aidha kuwafutilia mbali au kuwalipa kwa mujibu wa taaluma zao. Yaani Mbunge mwenye PhD inayofanana na Lecture wa chuo kikuu, walipwe sawa au kulivunjilia mbali hilo bunge lenye wapiga meza wengi hivyo. Ni waharibifu tu fedha za umma.
 
Hujui ni kinyume na haki za binadamu kuhukumu kabla hujathibitisha tuhuma? Nadhani naongea na msomi hapa lakini kwa mawazo yako haya utaondoka na gpa ya moja usipojipanga mdogo wangu

My views will never ever judged with short-sighted views,Somebody replied that,there some employees who are paid 200,000 per month with tax on it,do you think is it fair?,that is why i firmly oppose bad and stupid or unimplemented resolutions of ruling part to University students and Tanzanians.
 
Mkuu wangu mimi sisemi ni nyingi hiyo 7500. Lakini mimi ni maskini na natokea familia masikini najua namna hiyo 7500/siku namna ilivyo "nyingi". Hao wabunge, kama ingelikuwa amri yangu ni aidha kuwafutilia mbali au kuwalipa kwa mujibu wa taaluma zao. Yaani Mbunge mwenye PhD inayofanana na Lecture wa chuo kikuu, walipwe sawa au kulivunjilia mbali hilo bunge lenye wapiga meza wengi hivyo. Ni waharibifu tu fedha za umma.

Nashukuru kwa majibu mazuri lakin bado najiuliza zaid kwa swali ambalo hujalijibu Je watanzania/wazazi waliowengi wanaouwezo kumudu kulipia ghara za elimu ya juu?

Nikweli tuamini nchi yetu masikini haiwezi kughalimia elimu ya watoto wetu? Kivipi tushindwe kugharamia watoto wetu elimu

-kwanini tunatoa misamaha ya kodi hovyo tukijuwa watoto wanahitaji elimu, chakula na malazi?

-kwanini kunaufisadi wa kutisha Kila sector, je serikali ingedhibiti mapato tunsingepata fedha?

-nikweli sisi nimaskini au viongozi ndio maskini wa mawazo na walafi wasio na maono wala huruma kwa rslimalizetu?
 
Tunahitaji watu wenye uwezo wa kuona wapi serikali inajikwaa ili aishauri,si kushabikia na kusema ashauriwe mwenye kutoa mawazo yenye mlengo wa CDM hapa jukwaani
 
Nashukuru kwa majibu mazuri lakin bado najiuliza zaid kwa swali ambalo hujalijibu Je watanzania/wazazi waliowengi wanaouwezo kumudu kulipia ghara za elimu ya juu?

Nikweli tuamini nchi yetu masikini haiwezi kughalimia elimu ya watoto wetu? Kivipi tushindwe kugharamia watoto wetu elimu

-kwanini tunatoa misamaha ya kodi hovyo tukijuwa watoto wanahitaji elimu, chakula na malazi?

-kwanini kunaufisadi wa kutisha Kila sector, je serikali ingedhibiti mapato tunsingepata fedha?

-nikweli sisi nimaskini au viongozi ndio maskini wa mawazo na walafi wasio na maono wala huruma kwa rslimalizetu?

Haya mambo yanataka Policy and Institutional Analysis ambayo ni beyond ya mada yako. Ila fahamu tu kwamba Nchi yako ni miongoni mwa nchi masikini sana. This is the fact
 
That is why because of irresponsibility and corruptions with embezzlements of our African leaders,they are attempting to pull out from ICC by saying that, why their case couldn't be solved with African Court!.These views are nosense because AC to African leaders has no autonomy.
 
Good advice!,but we have to question back ourselves,that, is it fair for some employees to be paid 200,000 per month with tax on it,also with daily increasing living costs?

Completely unfair and this trigers the critical question behind this, is it fair for that person being paid Tsh. 200,000/monthly To udertake the burden for higher education cost sharing? Does this make sense? In a real sense is imponsible, and that tanzania's especially young people have got every wright to complain about unfair treatment offered by the government.
 
Haya mambo yanataka Policy and Institutional Analysis ambayo ni beyond ya mada yako. Ila fahamu tu kwamba Nchi yako ni miongoni mwa nchi masikini sana. This is the fact

Sijatoka nje ya mada maswalli yangu yanatokan na hoja ulioijenga mwenyewe nivema kuwà makini hasa tunapojenga hoja za utetezi bila kuangali kwa mapana hoja husika. Rejea bango lako hapa chini

By Mipangomingi
Ni kweli 7500 ni ndogo, lakini thamani ya kitu usiangalie kwa mwenye kitu, iangalie iwapo hiyo 7500 isingekuwepo kungelitokea nini. Ndugu yangu fungua fikara zako. Elimu ya vijana wetu ni jukumu la ubia kati ya Serikali na wazazi. Naamini Serikali inatambua kiwango cha 7500 kwamba ni kidogo. Lakini kwa upande mwingine hebu angalia ongezeko la Taasisi za elimu ya juu na wanafunzi katika kipindi cha 2005 mpaka sasa. Ni Muda mrefu Tanzania tulikuwa na UDSM, Mzumbe SUA; ukikosa huko uende TIA, IFM, CBE na IAA. Hebu leo fanya mahesabu yako tuna vyuo vikuu vingapi? Ni mtizamo tu.

By Balali
Nashukuru kwa majibu mazuri lakin bado najiuliza zaid kwa swali ambalo hujalijibu Je watanzania/wazazi waliowengi wanaouwezo kumudu kulipia ghara za elimu ya juu?

Nikweli tuamini nchi yetu masikini haiwezi kughalimia elimu ya watoto wetu? Kivipi tushindwe kugharamia watoto wetu elimu

-kwanini tunatoa misamaha ya kodi hovyo tukijuwa watoto wanahitaji elimu, chakula na malazi?

-kwanini kunaufisadi wa kutisha Kila sector, je serikali ingedhibiti mapato tunsingepata fedha?

-nikweli sisi nimaskini au viongozi ndio maskini wa mawazo na walafi wasio na maono wala huruma kwa rslimalizetu?
 
Wanafunzi wengi ni wanafki, mtu ùmetoka kijijini umekuja DSM unajifanya mtoto wa Manji, jaribu kupima taifa linahuduma watu wangapi. Leo taifa linahangaika kuboresha mfumo wa elimu kwa kuendelea kuboresha mfumo wa elimu angalau hata wale wanaosomea chini ya mti nao wapewe madarasa, we uko chini ya viti vya gharama halafu ùnasema hata hicho 'kidogo' hakitoshi. Acheni unafiki, someni msaidie serikali kutatua changamoto sio nanyi wasomi mnakuwa sehemu ya tatizo katika jamii.
 
1. Nikweli sisi ni maskini? Au ufisadi ndio unatufanya tujiite masikin?

2.Niwazazi wangapi walau wanauwezo wa kuchangia elimu ya juu? Kama elimu ya msingi wanashindwa watawezaje kumudu hiyo ya juu?.

3. Taifa linahangaika kuboresha mfumo waelÍmu kwasababu nimasikini au ufisadi umetamalaki nahivyo kutufanya tujiite maskini kwa upu.mbavu?
 
Kuna vyuo hawapati mkopo, ht aslimia moja. Hao unawafikiriaje? 7500 ukiwa na akili timamu ni kubwa sana mkuu
ifweero

Usichokijua na ambacho mtoa mada hajasema ni kuwa unapewa 7500 full lakini unalipwa ada 10% so u have to save from 7500 to pay for school fee at last unabaki hauna kitu.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu vijana mataka ukifika chuo uoe, umiliki music system na anasa kibao, sisi tulisoma na 2500 na wala sio mda mrefu sana imeongezwa ikawa hiyo mnayopewa leo, lakini hamridhiki

mi binafsi naona inatosha hiyo 7500. nimetokea familia maskini sana lakini kwa hyo 7500 ninamiliki music system, tv king'amuzi na nimepanga chumba kodi 40000 kwa mwezi, bado nasaidia ada kwa wanafamilia wengine. kulalamika kuwa ni ndogo haisaidii, km msomi unapaswa kuonesha uwezo wako wa kufikiri ba kuifanya pesa hiyo ionekane kubwa. sijawahi kula kwa mama ntilie napika kwa mikono yangu na nina afya njema na wala sijawahi supliment kwa kisa cha njaa. kikubwa mipango si matumizi pekeee.
 
Mi nadhani tatizo kubwa ni kudumazwa nà mfumo. Taifa haliwezi kutatua changamoto zote pekee, lazima tujiandae kulisaidia kubeba majukumu. Kujificha kwenye kichaka cha sisi ni matajiri si sahihi kwani utajiri wa taifa unapimwa kwa kuzalisha na sio kumiliki mali zisizozalisha. Wasomi wetu sio wabunifu, kazi kulalamika. Waliopata scholarships wanajua kusoma na kufanya kazi za ziada kupata pesa, wa ndani ya bongo kazi hawafanyi wanajua kupiga kelele. Acha kulia, changamkia fursa.
 
Hukujibu nilichokuuli badala yake unatwanga mengine inakuwaje?

1. Nikweli sisi ni maskini? Au ufisadi ndio unatufanya tujiite masikin?

2.Niwazazi wangapi walau wanauwezo wa kuchangia elimu ya juu? Kama elimu ya msingi wanashindwa watawezaje kumudu hiyo ya juu?.

3. Taifa linahangaika kuboresha mfumo waelÍmu kwasababu nimasikini au ufisadi umetamalaki nahivyo kutufanya tujiite maskini kwa upu.mbavu?
 
Sawa japo ni ndogo but na hao vijana wa chuo wajaribu kujibana kwa sbb wanatambua familia watokazo n maskin sana+nchi yenyewe. Pia ongezeko la wanafunzi ni changamoto kubwa sana na binafsi kwa kiasi fulani gvt inajitahidi

Suala la wingi au ongezeko la watu, vyuo, wanafunzi, nk kuwa sababu ya serikali kudhorotesha huduma kwa usuka wa CCM ni sababu tosha ya kutoitegemea tena CCM kuipeleka tanzania tunako kusudia. Tulipowakabidhi nchi miaka ya 60 ongezeko kwa % limekuwa likifahamika. Mikakati ya utoaji huduma ilitakiwa iende sambamba na ongezeko hilo. Kutoenda nalo ndio kushindwa kwenyewe. Muungwana hukubari kushindwa. Pale ambapo huwa anashindwa na bado anasema ataweza huo huwa ni ujuha.
 
Back
Top Bottom