Serikali ya CCM,MSIWADHARAU WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.

Ni kweli 7500 ni ndogo, lakini thamani ya kitu usiangalie kwa mwenye kitu, iangalie iwapo hiyo 7500 isingekuwepo kungelitokea nini. Ndugu yangu fungua fikara zako. Elimu ya vijana wetu ni jukumu la ubia kati ya Serikali na wazazi. Naamini Serikali inatambua kiwango cha 7500 kwamba ni kidogo. Lakini kwa upande mwingine hebu angalia ongezeko la Taasisi za elimu ya juu na wanafunzi katika kipindi cha 2005 mpaka sasa. Ni Muda mrefu Tanzania tulikuwa na UDSM, Mzumbe SUA; ukikosa huko uende TIA, IFM, CBE na IAA. Hebu leo fanya mahesabu yako tuna vyuo vikuu vingapi? Ni mtizamo tu.
naamini wewe si msomi.ungekuwa msomi ungeainisha uwezo wa serikali na wapi inakwama kihalali.serikali ya tanzania ina uwezo hata wa kuwapa wanachuo wote hata zaidi ya
elfu 20 kwa siku.
 
Hakika,ccm 2015 kuna utata,takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni wanachama wa CDM,HILI LIMESABABISHWA NA SERIKALI YA YENYE UCHU WA KUTAWALA HATA KWA UTEKAJI NYARA....LAKINI HAIWAJALI WASOMI WA VYUO VIKUU.Tsh 7,500 per day ni hela ndogo sana.

Sent via Huawei Y300.

Sikubaliani na wewe, wanaume wazima na PUMBU zao na wanafamilia wanalipwa buku 7 tu kushinda JF 24/7 na CCM, kumtukana Mbowe na Dr Slaa na wachaga.
 
naamini wewe si msomi.ungekuwa msomi ungeainisha uwezo wa serikali na wapi inakwama kihalali.serikali ya tanzania ina uwezo hata wa kuwapa wanachuo wote hata zaidi ya
elfu 20 kwa siku.

Ili mfunge ndoa kabisa vyuoni? Kwa hili naitetea CCM.

Kwanza uliza mishahara ya walimu.
 
Mkuu wewe hujafika huku,huenda unayasema hayo coz ww ni mtoto wa kishua,Lecturers wagawa handout karibu kila siku,na gharama ya handout 1 inafika hadi Tsh 3500,afu hujala,hujanywa,hujanunua mahitaji mengne

Mkuu handout ndio vitu vya msingi. Pesa iongezwe kwenye stationaries. However kwenye boom lako ipo pesa kwa ajili ya stationary hivi ulishawahi kununua hata kile kitabu cha communication skills..?
 
Ni kweli ,ila kweny hizo maabara utasoma ukiwa na njaa?

Mkuu kwani 7500 kwa siku huli?? Pale chuo udsm chai shs 50, andazi 100, kuna chakula hadi shs 800. Wali maharage hushibi, jioni ugali 1200, hushibi? Piga mahesabu. Acheni tamaa, hii nchi sio ya kitajiri.
 
Mkuu handout ndio vitu vya msingi. Pesa iongezwe kwenye stationaries. However kwenye boom lako ipo pesa kwa ajili ya stationary hivi ulishawahi kununua hata kile kitabu cha communication skills..?

Utawezaje kununua vitabu mkuu wakati pesa haitoshi!
 
Hakika,ccm 2015 kuna utata,takwimu zinaonesha asilimia kubwa ya wanafunzi wa vyuo vikuu ni wanachama wa CDM,HILI LIMESABABISHWA NA SERIKALI YA YENYE UCHU WA KUTAWALA HATA KWA UTEKAJI NYARA....LAKINI HAIWAJALI WASOMI WA VYUO VIKUU.Tsh 7,500 per day ni hela ndogo sana.

Sent via Huawei Y300.
Mdogo wangu nakushauri jikite kwenye masomo yako Chadema watakupoteza.
 
Mkuu kwani 7500 kwa siku huli?? Pale chuo udsm chai shs 50, andazi 100, kuna chakula hadi shs 800. Wali maharage hushibi, jioni ugali 1200, hushibi? Piga mahesabu. Acheni tamaa, hii nchi sio ya kitajiri.

Ni kweli ufikiri wako ni wa ovyo,hufikiri jinsi viongozi na watoto wao kama kina Ridhiwani wanavyoiba pesa za umma?
 
Mdogo wangu nakushauri jikite kwenye masomo yako Chadema watakupoteza.

Mimi si CDM mkuu,ndiyo tatizo tulilo nalo sasa mtu akiishauri serikali anaitwa CDM,why?,mnataka tusiseme?
 
Ni kweli 7500 ni ndogo, lakini thamani ya kitu usiangalie kwa mwenye kitu, iangalie iwapo hiyo 7500 isingekuwepo kungelitokea nini. Ndugu yangu fungua fikara zako. Elimu ya vijana wetu ni jukumu la ubia kati ya Serikali na wazazi. Naamini Serikali inatambua kiwango cha 7500 kwamba ni kidogo. Lakini kwa upande mwingine hebu angalia ongezeko la Taasisi za elimu ya juu na wanafunzi katika kipindi cha 2005 mpaka sasa. Ni Muda mrefu Tanzania tulikuwa na UDSM, Mzumbe SUA; ukikosa huko uende TIA, IFM, CBE na IAA. Hebu leo fanya mahesabu yako tuna vyuo vikuu vingapi? Ni mtizamo tu.

..be careful na hao vijana.

..Zanu PF na Mugabe walishangaa kuona wakichukiwa na vijana waliowaelimisha wenyewe.

..unapowapa wananchi elimu, unawapa pia matarajio ya mabadiliko fulani ktk hali zao za kijamii na kiuchumi.

..je, CCM imekidhi matarajio yanayotokana na vijana kupata elimu??

cc Dr.W.Slaa, Mwita Maranya, Ritz, NasDaz
 
Last edited by a moderator:
Za kuhonga wanawake, kwenda club na anasa mbalimbali wanazitoa wapi? Wajaribu tu labda kuomba maboresho ya sector ya elimu kwa ujumla kama vile vitabu, maabara n.k
 
naamini wewe si msomi.ungekuwa msomi ungeainisha uwezo wa serikali na wapi inakwama kihalali.serikali ya tanzania ina uwezo hata wa kuwapa wanachuo wote hata zaidi ya
elfu 20 kwa siku.

Money is not seawater that never dry, and resources always scarce. This is the basic and the overall principle of life. Your name is a student, and receiving over 200,000 tax-free per month. While some other fellows are employees, and taking less than 200,000 per month with tax on it. Basically, we are aware that the major challenge from our incomes is extended families of which university students find to fulfill family obligations, but you should not take it at a glance. Higher education financing is among the top policy controversial world-widely. There are many African countries whose students get nothing for their higher education. Ol-in-ol, I strongly agree that the amount is relatively small, but your country also small. Having a large area of land and resource endowments does not put your country to a such extent. Corruptions, bribery, embezzlements and all other related are among the institutional challenges that also require some amount of money to tackle for. Take it sir!
 
Ni kweli ufikiri wako ni wa ovyo,hufikiri jinsi viongozi na watoto wao kama kina Ridhiwani wanavyoiba pesa za umma?

Katika huu mnakasha hivi mimi na wewe nani ana akili ya ovyo? Ridhiwan kaingiaje hapa? Kama una ushahidi kuwa ridhiwani ni mwizi mpeleke mahakamani.

Hivi wewe waalimu wanalipwa laki mbili na nusu, sawa na wewe, wao wanamakato, wewe una ziada ya hela za stationary kila mwaka, kiasi cha laki mbili, na hujawahi kununua hata kitabu kimoja, then unalalamika serikali iongeze allowance ya 7500 hivi umeenda chuo kula ama kusoma.
 
Za kuhonga wanawake, kwenda club na anasa mbalimbali wanazitoa wapi? Wajaribu tu labda kuomba maboresho ya sector ya elimu kwa ujumla kama vile vitabu, maabara n.k

Wasichana hawa wanahongwa na wachoma chips mkuu,mara chache na wanachuo wenyewe
 
katika huu mnakasha hivi mimi na wewe nani ana akili ya ovyo? Ridhiwan kaingiaje hapa? Kama una ushahidi kuwa ridhiwani ni mwizi mpeleke mahakamani.

Hivi wewe waalimu wanalipwa laki mbili na nusu, sawa na wewe, wao wanamakato, wewe una ziada ya hela za stationary kila mwaka, kiasi cha laki mbili, na hujawahi kununua hata kitabu kimoja, then unalalamika serikali iongeze allowance ya 7500 hivi umeenda chuo kula ama kusoma.

nyinyi ndio wapinga maendeleo kwa kudai ushahidi upelekwe mahakamani....,mkuu ushahidi kwasasa ni mbinu ya ulagi ya mafisadi
 
Wasichana hawa wanahongwa na wachoma chips mkuu,mara chache na wanachuo wenyewe

Mdogo wangu sijui unasoma wap. Lakini jikite kwenye masomo, achana na anasa za calabash, kununua simu za android, music system na tv kw kujionyesha. Hiyo hela ya boom wenzako wamejenga makwao. Acha kuhonga wanawake, soma mdogo wangu
 
..be careful na hao vijana.

..Zanu PF na Mugabe walishangaa kuona wakichukiwa na vijana waliowaelimisha wenyewe.

..unapowapa wananchi elimu, unawapa pia matarajio ya mabadiliko fulani ktk hali zao za kijamii na kiuchumi.

..je, CCM imekidhi matarajio yanayotokana na vijana kupata elimu??

cc Dr.W.Slaa, Mwita Maranya, Ritz, NasDaz

Kimsingi Taifa lenye vijana wasomi ambao wanaichukia serikali yao kutokana na mapungufu ya serikali hiyo ndio Taifa hai zaidi kwasababu wao wanatarajiwa kuja na mbinu mbadala bora zaid ya ile ya Serikali. Kosa la elimu ya kiafrika ni lilelile, kutilia mkazo academic side na kupuuzia vocational training. Hata katika huu mkopo, sidhani kama wanafunzi hao wachache wanaosoma vocational training colleges wanapata. Tukiwa na vijana wengi wenye elimu ya academics inayoizidi ile ya ufundi itakuwa tunatengeneza taifa la walalamikaji na wapiga porojo tu ambao wanadhani kupitia wanasiasa wanaweza kutimiza mahitaji yao. This is very wrong. Ni sababu hii iliyoleta mapinduzi Libya, Egypt, na maeneo mengineyo yenye migogoro inayofanana na baada ya kufanya hivyo wanakuja kubaini kwamba waliowaingiza serikalini kumbe pia hawatatimza mahitaji yao. Kitakachoendelea kwa taifa hilo "total destabilization"
 
nyinyi ndio wapinga maendeleo kwa kudai ushahidi upelekwe mahakamani....,mkuu ushahidi kwasasa ni mbinu ya ulagi ya mafisadi

Hujui ni kinyume na haki za binadamu kuhukumu kabla hujathibitisha tuhuma? Nadhani naongea na msomi hapa lakini kwa mawazo yako haya utaondoka na gpa ya moja usipojipanga mdogo wangu
 
Ni kweli 7500 ni ndogo, lakini thamani ya kitu usiangalie kwa mwenye kitu, iangalie iwapo hiyo 7500 isingekuwepo kungelitokea nini. Ndugu yangu fungua fikara zako. Elimu ya vijana wetu ni jukumu la ubia kati ya Serikali na wazazi. Naamini Serikali inatambua kiwango cha 7500 kwamba ni kidogo. Lakini kwa upande mwingine hebu angalia ongezeko la Taasisi za elimu ya juu na wanafunzi katika kipindi cha 2005 mpaka sasa. Ni Muda mrefu Tanzania tulikuwa na UDSM, Mzumbe SUA; ukikosa huko uende TIA, IFM, CBE na IAA. Hebu leo fanya mahesabu yako tuna vyuo vikuu vingapi? Ni mtizamo tu.

Mkuu tambua katika suala la mahitaji muhimu yaani chakula, malazi na afya binadamu wote nisawa

Swali: je posho ya mwanafunzi anapata asilimia ngapi ya posho ya mbunge kwasiku?

Sisemi wapate sawa la hasha isipokuwa nitafrahi kama utafanya breakdown ya hiyo hela ya mwanafunzi kwasiku inakaaje?

Je unadhani wazazi waliowengi wanaouwezo wa kuchangia elimu ya juu? Rejea udhaifu walau wa kulipia elimu ya msingi!
 
Back
Top Bottom