Serikali ya CCM, kwanini tunashindwa na wenzetu wanaweza? Mtupishe!

CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Kweli sie kutengeneza Trela la mizigo ni suala la kitaifa wakati hayo mambo yalikuwa yanaweza kuwa yanazalishwa na vyuo vya VETA huko vijijini?

Hii ni dhahiri kuwa CCM kwa nyakati hizi sio nyakati zake na sio tu kuwa CHAMA TAWALA hata kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI haistahili, zaidi ya kuwa chama marehemu au kikundi cha vikoba au chama cha kufa na kuzikana.

View attachment 1846428View attachment 1846429
Yaani CCM kama wachawi, hivi kweli Prof. Msomi Mwanazuoni mbombevu leo hii ameibwaga taaluma yake na kushawishiwa kwenda kuzindua trela la trekta na kunasibu kuwa hiyo ni hatua ambayo nchi imepiga kitechnolojia?

Kitila ziko wapi zile akili zako za awali kabla ya kuteuliwa kuwa huko? Umerogwa?

Kwa taarifa tako huko Simanjiro kuna jamaa anaitwa Kakaaaa anau da hayo matrela huu ni mwaka wa 10 kama sio 12.

Bado hujafika Moshi wanako-design na kuunda zile cluser za watalii ambazo zimekuwa ni kuvutio tosha kwa wageni nchini.

Inasikitisha sana
 
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Kweli sie kutengeneza Trela la mizigo ni suala la kitaifa wakati hayo mambo yalikuwa yanaweza kuwa yanazalishwa na vyuo vya VETA huko vijijini?

Hii ni dhahiri kuwa CCM kwa nyakati hizi sio nyakati zake na sio tu kuwa CHAMA TAWALA hata kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI haistahili, zaidi ya kuwa chama marehemu au kikundi cha vikoba au chama cha kufa na kuzikana.

View attachment 1846428View attachment 1846429
Hahaaaaa, kweli nchi hii maskini!
 
hapo tayari umemaliza kukashifu ? au bado unaendelea?
 
yaani siamini kama naye huyu chizi ameshauza utu wake kwa mabeberu yaani ukishakuwa shoga akili zinahamia makalioni kama huyu hafai tena kuwamhubiri wa dini
Mbona kama ume panic? Chama chenu cha mazwazwa kisikupe homa sana kulitetea!
 
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?

Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda anasimama kwa mbwembwe kuzindua Trela la kwanza kuundwa nchini na kujisifu kwa uvumbuzi huo wakati wenzetu majirani miaka kadhaa nyuma 2018 walizindua Setellite yao kwa kushirikiana na Japan.

Kweli sie kutengeneza Trela la mizigo ni suala la kitaifa wakati hayo mambo yalikuwa yanaweza kuwa yanazalishwa na vyuo vya VETA huko vijijini?

Hii ni dhahiri kuwa CCM kwa nyakati hizi sio nyakati zake na sio tu kuwa CHAMA TAWALA hata kuwa CHAMA KIKUU CHA UPINZANI haistahili, zaidi ya kuwa chama marehemu au kikundi cha vikoba au chama cha kufa na kuzikana.

View attachment 1846428View attachment 1846429
Msukuma hakukosea kabisa kuwananga maprofesa wa Tanzania,
 
Back
Top Bottom