Serikali ya awamu ya sita apewe Kassim Majaliwa

Kwa mtazamo wangu mimi binafsi mungu atujaaliw uhai awamu ijayo serikali yangu impendekeze waziri mkuu wetu awe Rais
Mafiga matatu ndio yenye kuivisha chakula..ingekua vyema kijana wake Mzee wetu Rais wetu mh john P Magufuli akampitisha huyu ili amalizie kazi atakazo ziacha
Amwachie hata sasa.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Kwa mtazamo wangu mimi binafsi mungu atujaaliw uhai awamu ijayo serikali yangu impendekeze waziri mkuu wetu awe Rais
Mafiga matatu ndio yenye kuivisha chakula..ingekua vyema kijana wake Mzee wetu Rais wetu mh john P Magufuli akampitisha huyu ili amalizie kazi atakazo ziacha

Wote ni wale wale.Waziri Mkuu anayeshindwa kumshauri RAIS naye ni wa kupuuza hafai kuwa kiongozi wakufe kabisa hawana maana.
 
Huu ni ushahidi tosha kuwa ccm imemchoka magufuli yaan hata nusu ya awamu ya kwanza haijaisha mmeanza kuota ndoto za kubadili uongozi! Kwa taarifa yako rais hana uwezo wa kumweka atakae kwa historia ya tz pia UKOO WA MAPANYA BUKU WA CCM hii hata malaika au mtume yeyote atakaeingia madàrakani kwa tiketi ya ccm, huyo ni shetwan
 
Ma piko na mkorogo ndio sheria....ya kiongozi bora! KM acha tu amalize muda wake akapumzike ale mafao milele.....IQ yake ndogo sana
 
Hahahahaa baada ya Pombe kuwalevya sasa mnataka muone Majaliwa yenu baada ya Pombe, Verily Verily mtazidi kuongeza hang over tu
 
Kwa mtazamo wangu mimi binafsi mungu atujaaliwa uhai awamu ijayo serikali yangu impendekeze waziri mkuu wetu awe Rais

Mafiga matatu ndio yenye kuivisha chakula..ingekua vyema kijana wake Mzee wetu Rais wetu mh John P Magufuli akampitisha huyu ili amalizie kazi atakazo ziacha.
Majaliwa kafanya kipi cha maana mpaka sasa?

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom