Tunapoleta siasa na sarakasi kwenye elimu tunatafuta kuliangamiza hili taifa, serikali ibane matumizi yasiyo na maana yakiwemo ya kununua magari ya kifahari iwalipe watumishi maslahi mazuri wapate morale wa kufanya kazi...........kwa nini walimu wawe desperate? hili siyo la kufanyia mazaha hata kidogo.