Inaonekana Bro, umekata tamaa au upendi kutumia akili kutatua tatizo, kama madai ya waislam ni OIC na Kadhi Court , haya yanaweza zungumzika, naamini ni sirikali ya CCm na TLP ilkuwemo kwenye election manefesto yao, kama waliwadanganya waislam ni vizuri serikali ijieleze.
Nkama tatizo ni umaskini nadhani serikali inaweza kuinvest zaidi ktk area ambazo ziko affected- haya yote yanaweza kuzumgumzika,, nk
Nakama wanadai sirikali ni mfumo kristo, yote haya wanazungumzika- ni ni haki yetu sisi tuelewe ukweli
Sulution sio kukata tamaa, kuogopa kuongea na ku-face challenges au kutumia nguvu, bali negotiotion table ndio solution ya madai yote.