SERIKALI UZUIE UINGIZAJI WA SABUNI ZOTE

SERIKALI UZUIE UINGIZAJI WA SABUNI ZOTE

P J O

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2024
Posts
241
Reaction score
315
Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji Kwa viwanda vikubwa.

Sabuni hata ghetto inatengenezwa, siku tukikosa sabuni za India na Dubai, akili itatukaa kichwani. Serikali ifungue baadhi ya importation ya BIDHAA kama mafuta ya kula, toothpick, acha tutumie kamba akili zitukae kichwani.
 
shida kubwa ni ubora kwa wazilishaji wa ndani upo chini kwa namna moja au nyingine hivyo hizi sabuni za nje ziendele kuwapa chachu kuimarisha ubora wa bidha wanazozalisha hivyo sioni tatizo apo
 
Ubora unawekewa kiwango, TBS Ina kazi Gani?
 
Hawawezi kukuelewa, lakini pia uchumi ukiwa hovyo wanalalamika haohao ambao hawataki viwanda vidogo vya ndani viimalishwe.
 
Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji Kwa viwanda vikubwa.

Sabuni hata ghetto inatengenezwa, siku tukikosa sabuni za India na Dubai, akili itatukaa kichwani. Serikali ifungue baadhi ya importation ya BIDHAA kama mafuta ya kula, toothpick, acha tutumie kamba akili zitukae kichwani.
 
Attachments

  • 1743313068344.png
    1743313068344.png
    944.4 KB · Views: 22
Chama cha wapinga nyeto (CWN)kitakuja kutoa kauli kali kulaani mtoa uzi kuminya uwingizwaji wa sabuni ambazo maji kidogo povu jingi.
 
Kwa akili zako ndio maana vijana mmelala mnaacha wakubwa waongoze wakati watoto wenu na wake zenu mnashindwa kuhudumia. Kua serious
 
Toothpick tunatengeneza kwa kutumia muarobaini, toothpick za bongo chungu
 
Back
Top Bottom